Huyu ndiye Binti aliyechapwa makonde na kujeruhiwa vibaya na msanii TID hapo jana Usiku..!!


Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,098
Likes
394
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,098 394 180

Khaleed Mohamed 'TID' na Mariam Nnauye
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye
 
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
9,679
Likes
3,571
Points
280
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
9,679 3,571 280
Haki ya nani wamefanana kweli na kakaye
 
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
2,640
Likes
671
Points
280
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
2,640 671 280
Siamini Jamaa Alikuwa Jaji Jana, Sasa Yamekuwa Hayo Tena........