Huyu ndiye Binti aliyechapwa makonde na kujeruhiwa vibaya na msanii TID hapo jana Usiku..!!

Kampiga mtoto wa Marehemu lazima arudi tena Segerea. Kwa kumpiga mtoto wa kada wa CCM safari hii hatoki kwa msamaha wa Rais
 
Hivi mapenzi gani yapo pale mtu anaweza kunyanyua mkono na kumpiga mpenziwe! Mkishindwana si muachane kwa usalama. Vijana tubadirike.

Kajifunze Lugha basi
Ni Tubadilike sio Tubadilike.
Mnaboaga sana nyie msiojua matumizi sahihi ya "R "na "L"
 

Khaleed Mohamed 'TID' na Mariam Nnauye
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye

Stunna, unayo number ya huyu dada nikampe 'Pole'?
 
Mtu haachi asili yake!!mtu abusive hawezi kuacha kuabuse wengine..hio ni saikologia ilomuathiri tangia utotoni!
 
hahahahhaha Mentor unakumbuka incidence moja at Bunge alimchana mwenzie na kiwembe shavuni?

Yeeees aisee...tulikuwa wote mkuu!??

Ila the dude alikuwa anaonesha angekuwa na ka-bright future! smart na nini...sijui ni umaarufu ulimzuzua!??
 
Back
Top Bottom