Huyu Ndio JK Bana!!!!!

Ndg! itasaidia; kuna mambo ambayo hatakuwa na majukumu ya moja kwa moja kuyafanya (Rais wa jamhuri) kama ilivyo kwa Zanzibar ambapo wanafanya mambo mengine mengi tu pasipo kumhusisha JK na serikali yake.
Nimepata picha kidogo kuwa Raisi wa Jamhuri hatakuwa na mamlaka ya moja kwa moja kuingilia utendaji kiutawala wa nchi husika???? Labda lakini mpaka katiba ibadilike yeye anaendelea na libeneke ya kufilisi unaona hiyo???Labda bunge lijadili matumizi yasiyokuwa ya maana ya Raisi, ili wamfunge luku kila akihitaji kusafiri apresent request apate approval vinginevyo wapige kura ya kutokuwa na imani na Raisi wa kufilisi nchi!!!

Tuko pamoja mpaka hapo! Msimamo wangu ni kuwa na Serikali tatu.Watanganyika tumekuwa Mayatima kwa kipindi kirefu, hatuna msimamizi wa mali zetu ndo maana nchi yetu imekuwa kama shamba la bibi.
 
cku hizi hata kuaga haagi yaani.. unapigiwa cm 2 vasco dagama kaonekana maeneo ya airport.. halafu mbona ha2muonagi kwenye matelevisheni ya huko nje..? au...
 
Tuko pamoja mpaka hapo! Msimamo wangu ni kuwa na Serikali tatu.Watanganyika tumekuwa Mayatima kwa kipindi kirefu, hatuna msimamizi wa mali zetu ndo maana nchi yetu imekuwa kama shamba la bibi.
Ni kweli kabisa bunge la muungano kuna wabunge wa Zanzibari wana advocate juu ya maswala ya Tanganyika na kutoa ushauri au kujaza wingi kama vile wao ni wenyeji wa bara, wakati sisi watu wa bara hatuna mkono wowote kwenye serikali ya Zanzibari!!! Wanapewa nafasi za ajira bila ubaguzi wowote lakini wao wanatubagua, inahitajika ukweli ujulikane!!!!!Kataiba mpya serikali tatu ni muhimu kuondoa mkanganyiko kwenye utawala!!!
 
hivi marais wa Tanzania waliomtangulia nao walisafiri hivi?
Maraisi wa awali hawakusafiri kama hivi sasa, walikuwa na huruma kwa wana nchi sio huu utaratibu wa kufilisi!!! Gharama za vitu bei juu kodi ya vitu bei juu, kisa wakubwa watumie tuu!!!

Maraisi wa awali hawakusafiri kama hivi sasa, walikuwa na huruma kwa wana nchi sio huu utaratibu wa kufilisi!!! Gharama za vitu bei juu kodi ya vitu bei juu, kisa wakubwa watumie tuu!!!

kabisa yeye ndio hana huruma wala halitakii mema taifa hili dats why anafanya hayoo! na wenzie woote wanajijua!
wanatutawala bora liende tuu kila mtu akijilimbikizia mali na kutumia vibaya pesa ya serikali ipasavyoo.
 
Back
Top Bottom