huyu ndio great thinker | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huyu ndio great thinker

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shiwawa, Sep 4, 2012.

 1. S

  Shiwawa Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMAA ALIKUWA ANAMCHUJNGULIA HAUSGAL WAKE KUPITIA 2NDU LA FUNGUO, AMEINAMA KWA KUSHIKA MAGOTI, MARA MKEWE AKAMWONA NA KWA UKALI AKAMUULIZA UNAFANZA NINI HAPO? BWANA AKAENDA JUU NA KUSEMA SAMIALLAHU LIMAN HAMIDA! MKE AKASEMA HA, KUMBE UNASWALI! JE HUYU JAMAA NAE ATAKUWA GREAT THINKER?:A S-coffee:
   
Loading...