taamu
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 10,181
- 8,063
mkuu mimi na wewe tunaelewana lughahakuna dini inayobariki mauwaji kama hayo si uislamu wala dini yoyote ile,kama walimuuwa ni ubara na uzanzibari ndio umetumika lakini chini ya kivuli cha dini kwa kuwa wauwaji labda ni khamisi na makame!!!!
mtume s.a.w aliishi kwa wema na yahudi wa madina alifanya nao biashara bali aliwahakikishia ulinzi na maisha bora walipokubaliana kimasharti,hakuuwa mwanamke wala mtoto wala mzee,na hakuuwa mtu yoyote nje ya vita au ndani ya vita huku hajabeba silaha!!!
huu si uislamu wala hawa wauwaji si waislamu wana agenda zao nyengine