Wewe kama hukubaliani utakuwa ni mbaguzi.
Kama sheria inamruhusu na kama hukubaliani hilo ni tatizo lako binafsi si letu.
Mada nnaielewa sana kuliko unavyofikiria.
Laiti ingelikuwa mama'ke Bob ni mzungu na huyo baba'ke ni Mwafrika yasingekuwepo haya.
Halafu mtu juu huko anasema hajamuoa wakati huo huo anaweka jina la mama lenye surname ya Baba na mtoto surname hiyo hiyo.
Kuna mchepuko anatumia surname ya bwana'ke?
Mama wa Bob hajawahi kuitwa Marley, jina lake halisi ni Cedella Booker. Baada ya Bob kuzaliwa hawakuwa na uhusiano tena na mama akamlea mwanae peke yake. Hizo porojo zako nyingine haziniingii akilini, maana iwe mzungu, mwafrika au muasia ukiwa na miaka 30 huwezi kuwa confortable na mpezi wa miaka 60, sembuse kisichana cha miaka 17 au 18? *** the stupid laws. Hizo ndizo ndizo zinazofanya vitoto huko Yemen na nchi nyingine za kiarabu kukosa uhuru wa kuishi maisha yao.
Aliitwa Norval Sinclair Marley, alizaliwa mwaka 1881, alikuwa captain na pia baadae alikuja kuwa msimamizi mkuu wa mashamba makubwa huko Jamaica.
Alikutana Na mama yake Bob akiwa Na miaka 60 wakati huo mama yake Bob akiwa Na miaka 18, akijulikana kwa jina la Cedella Editha Marley,
Mara baada ya kuzaliwa Bob Marley mwaka 1945 baba yake na mama yake walitengana. Miaka kumi baadae (1955) baba yake Bob Marley alifariki.
Bob katika maisha yake ilikuwa ni Mara chache Sana kumtaja baba kwa kuwa hakumjua kutokana na kwamba hakukulia au hakupata malezi ya baba.
View attachment 490587
Pichani: Baba na Mama wa Bob Marley

Bila kuangalia sheria lakin tabia za kifataki haziruhusiwi, tofautisha Kati ya kuolewa Na kuoa, pamoja na mwanaume kuwa Na tabia za kifatakiUzi mmzuri wa legend. Unaanza matusi.
Umri ulioandikwa kwenye post namba moja ni miaka 18, hiyo 17 unaitowa wapi?
Umeambiwa ili mtu aitwe Pedo ni lazima awe na umri wa miaka 1 au zaidi na victim awe na miaka 13 au chini ya hapo.
Yemen imehusu nini? Au mama'ke Bob ni Myemen au baba'ke?
Sheria hizo nilizokuwekea ni za Great Britain ambayo iliitawala Jamaica na Yemen pia.
Na nimekueleza hata hapa kwetu ni juzi juzi tu sheria ya ndoa ilikuwa ni miaka 14 na sasa nadhani ni 15 kaa haijabadilishwa.
Labda uwe na tatizo lingine, kwa miaka 18 iliyotajwa kwenye uzi namba moja na kwa jina la mmama'ke Bob Marley liliwekwa nadiriki kusema hakuna Pedo hapo.
Tena nimeuliza, mchepuko huwa anatumia jina bwana'ke?
Sasa wewe utueleze kuwa mleta mada haelewi alichokileta na ubishane nae kuhusu hilo jina la ukoo, au walikuwa ndugu na surname yao moja?
Bila kuangalia sheria lakin tabia za kifataki haziruhusiwi, tofautisha Kati ya kuolewa Na kuoa, pamoja na mwanaume kuwa Na tabia za kifataki
Huo ni upuuzi ama ukarekebishe pale post namba moja.Ilijulikana
Hivo baada ya kuzaa na huyo Baba, lakini haikuwa official name, kama Bob Marley aliweza kutumia ubini WA babake hakumnyimi mamake kutumia jina Hilo pindi akijiskia, so she's okay with that.
Unarudi kule kule kwa mwanzo, huyo baba alikuwa Na tabia za kifataki Na sio kwamba alitembea Na mamake bob Tu Bali ilikuwa ndo tabia yake
Aliitwa Norval Sinclair Marley, alizaliwa mwaka 1881, alikuwa captain na pia baadae alikuja kuwa msimamizi mkuu wa mashamba makubwa huko Jamaica.
Alikutana Na mama yake Bob akiwa Na miaka 60 wakati huo mama yake Bob akiwa Na miaka 18, akijulikana kwa jina la Cedella Editha Marley,
Mara baada ya kuzaliwa Bob Marley mwaka 1945 baba yake na mama yake walitengana. Miaka kumi baadae (1955) baba yake Bob Marley alifariki.
Bob katika maisha yake ilikuwa ni Mara chache Sana kumtaja baba kwa kuwa hakumjua kutokana na kwamba hakukulia au hakupata malezi ya baba.
View attachment 490587
Pichani: Baba na Mama wa Bob Marley
I like the way u argue with points...thumbs up!
Enzi hizo wazungu walitembea na weusi wanaovutia na wakiwazalisha watoto wanakuwa maids kwa wake zao, angalau kazi hiyo ni nyepesi kuliko kulima shamani.Mkuu una kipaji cha kuchekesha, wenzio kina Joti wanapiga hela we unafanya bure JF. Anyway, maandiko na documentary nyingi yanaelezea uhusiano wa Cedella Booker na huyu mzee haukua wa mapenzi. Umasikini ni kitu kibaya sana. He used her because of the economical situation na hii hali inaendelea mpaka leo hasa huku kwetu Africa.
I like the way u argue with points...thumbs up!
Jambo ukilijua raha sana, yan unaongea umetulia kbs[emoji109]Hawa watoto wanatuona tumezeeka lakini hawajui kuwa wanavyomjuwa wao Diamond ndiyo sisi tunamjuwa Bob, tumekuwa tunaimba na kucheza nyimbo zake (Munu atusameh) tunazijuwa nyimbo zake zote kwa kichwa, tunaijuwa story yake yote.
Watuulize tuwaeleze, wamsikilize na mama'ke hapa:
Tukuamini wewe PAGAN bushland au tuiamini BBC ambacho ni moja ya chombo kikubwa cha habari duniani?
Bob's father, at the age of about 60, met and later married 18-year-old Cedella Malcolm, while working as a supervisor on a plantation in Jamaica.
In February 1945, she gave birth to Nesta Robert (Bob) Marley and the couple separated not long after.
Source: World War One: Bob Marley's father 'neurotic and incontinent' - BBC News
Jambo ukilijua raha sana, yan unaongea umetulia kbs[emoji109]
Ofcoz in thz dyz @thng ipo kw fingertips naeza ku-google bt mtu anaeongea kw kuelewa(km una ufahamu mkubwa) utamuelewa tu tofauti na aliyekaririStop sucking this woman. Kila mtu anajua habari za Bob Marley. Google na wewe kama anavyofanya utaona matokeo.
Ofcoz in thz dyz @thng ipo kw fingertips naeza ku-google bt mtu anaeongea kw kuelewa(km una ufahamu mkubwa) utamuelewa tu tofauti na aliyekariri