Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,115
Acha kusikia habari ya kukeketwa kwenye utu uzima.....jando jikekwani nini asitii sheria bila shuruti?
kwana amekosa nini?halafu ni me au ke maana sijamwelewa vizuri
Huyu ni ke mkuu ndio maana kabebwa ke wenzieHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, kubebwa na polisi wa kike ni raha jamani, hata kama ningekuwa mimi ningeleta ubishi wanibebe