Huyu mzungu atanikubali kweli?

Huyu mzungu atanikubali kweli?

Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu au la.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona Zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda Bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri

Umeoa?
 
unataka unyevu wa exemption utajikuta unalipa double tax
 
Wabongo bwana! Si ameshasema ana boyfriend unataka nini sasa. Ukianza mambo yako utaharibu friendship yenu na kama ulivyosema she's your immediate boss so if she rejects you, be prepared for endless awkwardness at the office. Fanya kazi tu maana ndio kilichokupeleka wewe na yeye pale.

acha kabisa mkuu mm ilishawahi kunitokea puani, weupe ni social sana ila si kwenye mapenzi, ni vigumu sana kuchit kama ana mtu tayari,
ushauri: mkienda swimming dushe likiinuka usijifiche anaweza kukuonea huruma.

Sio haraka haraka hivyo peaneni nafasi kidogo kama mnapendani mtajikuta automatically mmekuwa wapenzi.hayo mambo ya kumtongoza acha kabisa

Miaka ya nyuma kitambo, vijana 5 tulipelekwa kusoma chuo kimoja nchini Canada, pale chuoni kulikuwa na tawi la benki, kila tukienda benki tukiwa kwenye foleni, tunapomkaribia teller, walikuwa wanatoa tabasamu la nguvu likifuatiwa na maneno "Hi, can I help you". Sasa bwana waswahili tukaanza kufikiri kwamba watoto wa kizungu wanatumaindi, kumbe bwana kwao ilikuwa "Customer reception" Wabongo bwana!!!!!!!

hahaha angalia ussije ukakosa vyote maana unataka kutema bigji kwa karanga za kuonjeshwa

nyie wanaume cjui mpoje

jifunze style za kumchinja kobe ukimtongoza tuu unapewa za uso ila mlie tyming tuu

Anaye boyfriend wake .. Sema kama ni kupiga unaweza lakini si maswala ya future. Si kila demu unatongoza wewe tengeneza mazingira ya kumla tu

Wamexico sio wazungu ni walatino.
Mkuu,sikushauri umtongoze huyo manzi,mademu wa kizungu chemistry yao ni tofauti kidogo na hawa wafrika wenzetu,mademu wa kizungu wako social sana unaweza ukadhani anakushobokea kumbe wala ndio alivyo tu.iliwahi kunitokea hyo,manzi mmoja wa kijerumani tulikua karibu sana kiasi kwamba aliweza kukaa na chupi tu mbele yangu tukiwa chumbani but mwisho wa siku nilivyopiga sound manzi akanambia ''sorry i thought we are good friends''na tangu pale akaanza kunikwepa.nilichojifunza kwa mademu wa kizungu sio wanafiki,kama anakutaka atakuonyesha hisia zake live ikiwa ni pamoja kutaka kujua historia yako ya mahusiano bt aspokuulza yote hayo huyo ujue anataka urafiki wa kawaida tu.

Mkuu acha kabisa habari ya kumtongoza! Kuwa naye hivo hivo!

Kama anakuhitaji kimapenzi atakuonesha usijaribu kuropoka! Utakosa mengi sana kutoka kwake!
Hawako hivo hao kakangu
!

Acha kujichimbia kabuli. Tabia za kizungu unazo ziona kwake zisikuponze mkuu.

Ha ha ha usidharau nazi, hilo embe ni la msimu tu

mbake tu! kutongoza ilikua zamani
KIla mtu kakushauri kuwa usimtongoze.Ni watu wa vitendo ni kujipanga tu ila jali kazi zaidi
 
Mbona nasikia wengi wao ni poikilothem...na papuchi ni ya baridiii...!
 
Mara kwa mara unatumwa kwenda kuchange dolla, mmexico anajua kuna dogo wa kutuma sasa wewe umewaza mapenzi, jarb uone hutaiona tena dolla!!
 
wewe unahangaika nn watoto kama hao tumeumbiwa sisi hebu njoo nikupe ufundi wa kumpanga mwenyew atakuambia i love u tatizo unaweza ukawa domo zege funguka mkuu
 
Kaka miaka mitatu mingi sana kama vipi we subiri tuu nyege zitampanda tuu siku moja mzigo utakula tuu
 
Ruka nae tu mkuu. Sema ukipoteza kibarua njoo tena tukushauri.
 
Akikutaka atakwambia mwenyewe. Wale sio kama hawa wa huku..... usimuanze, lakini likisimama usifiche
 
Ukitongoza tu ndo utaharibu, subiri safari ya zanzibar mkianza kuswim unagusa wowowo kimtindo kama bahati mbaya response yake itakupa jibu

Ushauri wako sio keshasema aligusa bahati mbaya dushe likamsimama sasa akigusa kwa makusudi si atakojoa kabisa
 
Ushauri wako sio keshasema aligusa bahati mbaya dushe likamsimama sasa akigusa kwa makusudi si atakojoa kabisa

Aligusa kiuoga, huyu nae kama jogoo....
Ndo aguse kwa nia ya dhati kuwa anataka mzigo ajaribu na vikiss vya hapa na pale
 
Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu au la.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona Zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda Bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri

Usisahau kutuletea update tena, mi nakushauli mwambie usimuogope we mwanaume bana, na hawez kukufukuza kaz wala nn, komaa mwambie ukweli, wako toka moyoni lakin fanya hivyo mkiwa sehem tulivu, yani ndo mmemaliza kuogelea au kura au mishe ingne halafu muulize yule jamaa ake ni mpenz tu au mmewe; ukishapata jibu ingia sasa kwa dizain hakuna mtu mahis kama mzungu, pia mfanyie vitu vya kumfurahisha mda wote
 
Back
Top Bottom