Huyu mzungu atanikubali kweli?

Huyu mzungu atanikubali kweli?

mswahili tabu tupu ukiona chaka lazima ujisaidie, amekupenda kama rafiki Mkuu achana na habari ya kumtongoza kama amekukumbatia, amekupiga kiss shavuni kule kwao ni kawaida tu acha kuweweseka utaharibu kazi

hahahahaha duh ni shiida
 
Tayar sio stranger kwake,soma vzr sio unacomment2
 
Nakuthibitishia pasi na mashaka kwamba atakukubali, infact atakujengea nyumba ya ghorofa..
 
Usimtongoze direct wewe fanya mambo ki"chini ya kapeti" ukienda kwake siku "mida mibaya " ikifika omba gemu "kivitendo" sio kwa kuongea akikupa "sugua gaga" na "osha rungu" effectively mwanaume wajibika "kisawasawa".Mpe mmexico staili zote za kidigo, kisukuma,kimakonde,kihaya(katerero),na shoo ya kibabe kabisa kiasi amsahau huyo bf wa US .

Siku mara vuuupuuu!!!! Utasikia " Jean te amo,"
 
Ndugu jean, nakushauri acha kbs kujiharibia kazi yako na sifa yako baadae. Mzungu (any white woman) akisema ana boyfriend that means ana maanisha anachokisema na hawezi kuchange ,wenzetu hapo wapo makini sana kwenye ishu za ku cheat. Nakushauri acha kbs mawazo ya kumtongoza huyo dada na ukijaribu tuu atakutolea nje na atawaambia wafanyakazi wenzako then atatafuta mtu wa kumpa kampani. Utabaki na majuto na stress zako. Wasichana wa kizungu wapo very social to the extent that you can see like anajileta kwako kumbe ni ukaribu then wewe ukatake advantage meen utajuta ile mbaya. Kuogelea nae isn't an issue kwa mzungu don't try kbs. We fanya kazi create connection . Uchi ni uchi tuu acha kumradhau huyo anayekusumbua kwa kigezo cha sijui mmexico.
mtoa uzi tafadhali soma vizuri ushauri wa huyu jamaa
 
Yan mdomo wako usikuponze ukakosa job, maan apo job kwanza mambo mengne baadaye, chmaana hapo nivtendo tu ndo vtakufanya upate kipompwiso, so never seduce her!
 
Mwambie muende hata Mbeya kwenye kimondo na mkifika huko kwa vile hamuwezi kurudi siku hiyo ukienda kuchukua chumba muulize nichukue vyumba viwili, akisema ndiyo hujue huna chako.

nimependa wazo lako asee mule mule hebu kulq LIKE fasta
 
Znz anataka pia uende nae?Na je mkifika nani analipa gharama za hoteli?Jaribu kuwa kama unamtania kwamba hata akitaka mlipe chumba kimoja poa tu ila ktk hali ya utani utaona reaction yake.

duh comment nyingine hiyo nzuri kabisa. haya sasa mtoa mada mungu akupe nini? na mawazo mazuri ushapata? ole wako useme mlilala mzungu wa 4
 
wakuu,

hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa mexico pia ni wazungu au la.ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

wadau ushauri
usijaribu mkuu, hawa kuvaa chupi bila nguo nyingine hawaoni kama wako uchi. Mnavyoogelea mwenzio anaona hiyo boxer kama vile umejifunika blanketi
 
Yan mdomo wako usikuponze ukakosa job, maan apo job kwanza mambo mengne baadaye, chmaana hapo nivtendo tu ndo vtakufanya upate kipompwiso, so never seduce her!
Kweli asijaribu, hawa wapo tofauti sana na sisi weusi. Siyo kwamba hawatongozeki lakini wanakuwa na akili nyingine kabisaa hasa kwenye mahusiano ya kingono. Atamwaga unga.
 
Wewe bakini ivo kwa muda mapezi ya kutegana ni mazuri mno af kama haitatokea powa pia si kila mdada umchungulie pia ni yabaridi mno hata sijui unavutika na nini na figure ya mtasha:bathbaby:

Hovyooooooooooooooo njooo Arusha kwa mahotels wako kibao wewe tu _____ Ila sasa mungu kakudatisha je wabantu wetu hawa wa shinyanga ?
 
Wala mawazo yake hayapo huko unakotazamia, jiandae kusimamishwa kazi endapo utarusha tongozo kwake.
 
Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni,

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri
images.png

bottom line ni kwamba angalia usije ipoteza hiyo kazi unayoitegemea bse
One little mistake can cost u everything
 
Back
Top Bottom