Huyu mzungu atanikubali kweli?

Huyu mzungu atanikubali kweli?

Heheheh

Hakuna kazi ngumu kama kutafuta kazi......

Simtishi...naona tu kijana anajaribu kuhama jukwaa toka mmu to jlk


Teh teh..acha kutisha watu ww..Kazi zipo kibao..Acha kijana aseme na moyo wake
 
Naomba ukome kwa kauli yako hiyo ya "lile lijianamke" imagne mama, dada, shangazi zako wanaitwa ivo! how do you feel?

Next:
kua kwanza maana una vitu viwili vya kitoto vinakutatiza,,,

i>unataka sifa ya kuoa wazungu pasipo kutizama next side of a coin,
alwayz 'mwanamke tabia utajir wa rangi ata kinyonga anayo'

ii> unataka kuolewa na sio kuoa eti natumwa kuchange dollar hahah zina wenyewe imagine mwanamke anapesa kali ivo je kwao? Na mahari utaweza toa kwao? Kwanza Ukifika utawekwa kwenye mafungu ya magatekeeper na sio muoaji.

Alwayz mafuta na maji havigusani lazma vitengane vivo hivo kazi na mapenzi haviendani!
Sasa we katongoze ukizan anafanya kaz hapo kwa part time ataondoka na umle kwa nguvu uje uone ye atakuwa mexco kwao we utarudi chunga mbuzi na kazi huna.

anataka kuwa 'parasite husband' nini!
lakini kna ktu nahisi; tamaa ndo inayotembea hapo, sio upendo
 
Hiyo inaitwa prisoner's dilema. Abaki atumikie kifungo au atoroke awe huru. Na iwapo akitoroka akakamatwa aongezewe kifungo... Kuhusu dem wako wa Kibongo ukae ukokumbuka tunda ni dafu embe tunda la msimu.
 
Waafrika wajinga we si mchanga! Mpige hela kwanza mambo mengine yatajiset yenyewe online sasa we kimbilia papuchi kama na kazi hujakosa! Halafu kama unataka awe wako usifanye hayo mambo kwa pupa nenda mdogo mdogo anza kwa kumchomeka kuhusu mambo ya mapenzi kwa utani utani kwanza ukipima upepo wake! Usiwe siriasi sana kumkomalia kumtongoza hadi ajue mdogomdogo hadi unajilia papuchi bila nguvu akikupa game hakikisha unapiga kavu hadi mimba iingie ujichukulie mtoto wa kizungu! Bila kuumiza kichwa utajikuta upo mexico na uraia pacha juu! Usisahau kuweka picha yake humu
 
Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu au la.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona Zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda Bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri

hao ni wajinga xn mkuu mwingine anaweza kuwa na sign zote za hata kutoa papuchi ukamalizia akazingua,hawa ni watu wa upendo wa agape xn! ukitaka kufanikiwa mchunguze nyendo zake kama ni mtu wa ma club na unaweza toka nae ni rahisi xn kukuelewa,coz wanaamini xn hit n run au one nite stand luv kuliko kuchonga mzinga,ila ukifanikiwa hata hyo ni raisi pia kumshawishi awe shemeji yetu kabisa
 
Boyfriend maana yake ni rafiki wa kiume, kwahiyo pengine hata anapozungumza na huyo boyfriend wake marekani anamwambia kuwa yupo na boyfriend wake wa kibongo bagamoyo wakipiga mbizi kama kuvuka kigamboni baada ya kushindwa kulipa kiingilio cha tsh. 300.

Mwisho nakushauri acha tamaa.

He he hee unamaanisha huyo mmarekani na huyu wa bongo wote 'maboy'!?
 
Yani ukimwambia tu umeharibu kila kitu,itakuja automatically mkuu msogeze kwanz.
 
Wamexico sio wazungu ni walatino.
Mkuu,sikushauri umtongoze huyo manzi,mademu wa kizungu chemistry yao ni tofauti kidogo na hawa wafrika wenzetu,mademu wa kizungu wako social sana unaweza ukadhani anakushobokea kumbe wala ndio alivyo tu.iliwahi kunitokea hyo,manzi mmoja wa kijerumani tulikua karibu sana kiasi kwamba aliweza kukaa na chupi tu mbele yangu tukiwa chumbani but mwisho wa siku nilivyopiga sound manzi akanambia ''sorry i thought we are good friends''na tangu pale akaanza kunikwepa.nilichojifunza kwa mademu wa kizungu sio wanafiki,kama anakutaka atakuonyesha hisia zake live ikiwa ni pamoja kutaka kujua historia yako ya mahusiano bt aspokuulza yote hayo huyo ujue anataka urafiki wa kawaida tu.
Hii Ni Kweli Mkuu!!!
 
Anaye boyfriend wake .. Sema kama ni kupiga unaweza lakini si maswala ya future. Si kila demu unatongoza wewe tengeneza mazingira ya kumla tu

...inapendeza sn kusoma ujumbe kama huu toka kwa mtoto wa kike? vp;kesho akitokea mshkaji akakupiga akasepa utamchukuliaje?!
 
Back
Top Bottom