Naomba ukome kwa kauli yako hiyo ya "lile lijianamke" imagne mama, dada, shangazi zako wanaitwa ivo! how do you feel?
Next:
kua kwanza maana una vitu viwili vya kitoto vinakutatiza,,,
i>unataka sifa ya kuoa wazungu pasipo kutizama next side of a coin,
alwayz 'mwanamke tabia utajir wa rangi ata kinyonga anayo'
ii> unataka kuolewa na sio kuoa eti natumwa kuchange dollar hahah zina wenyewe imagine mwanamke anapesa kali ivo je kwao? Na mahari utaweza toa kwao? Kwanza Ukifika utawekwa kwenye mafungu ya magatekeeper na sio muoaji.
Alwayz mafuta na maji havigusani lazma vitengane vivo hivo kazi na mapenzi haviendani!
Sasa we katongoze ukizan anafanya kaz hapo kwa part time ataondoka na umle kwa nguvu uje uone ye atakuwa mexco kwao we utarudi chunga mbuzi na kazi huna.