Huyu mzungu atanikubali kweli?

Huyu mzungu atanikubali kweli?

Umependa hela tu mengine mbwembwe. .

Kazi na mapenzi havioani..
 
Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu au la.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona Zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda Bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri

Miaka ya nyuma kitambo, vijana 5 tulipelekwa kusoma chuo kimoja nchini Canada, pale chuoni kulikuwa na tawi la benki, kila tukienda benki tukiwa kwenye foleni, tunapomkaribia teller, walikuwa wanatoa tabasamu la nguvu likifuatiwa na maneno "Hi, can I help you". Sasa bwana waswahili tukaanza kufikiri kwamba watoto wa kizungu wanatumaindi, kumbe bwana kwao ilikuwa "Customer reception" Wabongo bwana!!!!!!!
 
Mkuu zari hilo Mexico njenje jaribu kumuingia kama utani just do it.

swissme
 
Wamexico sio wazungu ni walatino.
Mkuu,sikushauri umtongoze huyo manzi,mademu wa kizungu chemistry yao ni tofauti kidogo na hawa wafrika wenzetu,mademu wa kizungu wako social sana unaweza ukadhani anakushobokea kumbe wala ndio alivyo tu.iliwahi kunitokea hyo,manzi mmoja wa kijerumani tulikua karibu sana kiasi kwamba aliweza kukaa na chupi tu mbele yangu tukiwa chumbani but mwisho wa siku nilivyopiga sound manzi akanambia ''sorry i thought we are good friends''na tangu pale akaanza kunikwepa.nilichojifunza kwa mademu wa kizungu sio wanafiki,kama anakutaka atakuonyesha hisia zake live ikiwa ni pamoja kutaka kujua historia yako ya mahusiano bt aspokuulza yote hayo huyo ujue anataka urafiki wa kawaida tu.
 
Sio haraka haraka hivyo peaneni nafasi kidogo kama mnapendani mtajikuta automatically mmekuwa wapenzi.hayo mambo ya kumtongoza acha kabisa

Dogo jean phillipe beyun chukua hii kitu na uifanyie kazi, soon utajikuta unapotezwa ofisini. Ikiwa keshakwambia ana BF wake changanya na zako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha kabisa habari ya kumtongoza! Kuwa naye hivo hivo!

Kama anakuhitaji kimapenzi atakuonesha usijaribu kuropoka! Utakosa mengi sana kutoka kwake!
Hawako hivo hao kakangu!
 
Daaaaahh sipati picha ukikataliwa utakuwa mdogo kama piliton, daaaahh hadi nmecheka mwenyewe
 
Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu au la.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona Zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda Bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri
Mkuu Jean !! FYI, mgeni akija TZ huhitaji Bodyguardi... Sasa wewe jenga Taifa lako na ujikusanye hizo $$$ keep change zako kesho, utazihitaji sana kimaisha, urafiki wako endelea kwa KUMHESHIMU naye azidi KUKUHESHIMU !!
usikurupuke.... huko kazini wanasubiri utemwe tu!!
(kama ni wazungu tuu mbona wamejaa kama mboga)
 
Mwambie: Te amo (nakupenda). Baada ya hapo utajua kama mbivu au mbichi. Hao watu wa Latin America hawana longolongo. Kama mnaenda naye sehemu hadi kwenye muziki ina maana hana nongwa na wewe. Ukichelewa atafanya hayo kwa mwingine na nafasi itakuwa imepotea.
 
Wamexico sio wazungu ni walatino.
Mkuu,sikushauri umtongoze huyo manzi,mademu wa kizungu chemistry yao ni tofauti kidogo na hawa wafrika wenzetu,mademu wa kizungu wako social sana unaweza ukadhani anakushobokea kumbe wala ndio alivyo tu.iliwahi kunitokea hyo,manzi mmoja wa kijerumani tulikua karibu sana kiasi kwamba aliweza kukaa na chupi tu mbele yangu tukiwa chumbani but mwisho wa siku nilivyopiga sound manzi akanambia ''sorry i thought we are good friends''na tangu pale akaanza kunikwepa.nilichojifunza kwa mademu wa kizungu sio wanafiki,kama anakutaka atakuonyesha hisia zake live ikiwa ni pamoja kutaka kujua historia yako ya mahusiano bt aspokuulza yote hayo huyo ujue anataka urafiki wa kawaida tu.
Usimkatishe tamaa naishi nao hao wadudu ni free of charge.

Swissme
 
Back
Top Bottom