Huyu mzungu atanikubali kweli?

Huyu mzungu atanikubali kweli?

acha ubwege si lazima umwambie direct anza manjonjo na wewe....flirts...jokes kidogo atadata af mwambie yu amaaing awesome mpambe mjalijali utapata papuchi acha kujikaza sana kama chuma
 
...inapendeza sn kusoma ujumbe kama huu toka kwa mtoto wa kike? vp;kesho akitokea mshkaji akakupiga akasepa utamchukuliaje?!

unachukulia kama kosa limetokea na maisha mengine yaendeleee... kuna maisha baada ya kungonoka au kumcheat umpendaye
 
Njia nyingine ni kutoka naye kwenda hiking ili mpate muda mwingi wa kuwa peke yenu nje na mahali mnapoishi na kufanya kazi,mnaweza kwenda Lushoto au karibuni Moshi tuna arrange day trip to Mt.Kilimanjaro,hii kitu imesaidia sana watu kuelezana hisia zao zilizofichika,lakini zaidi ya yote usiwe mwepesi kutongoza,kila kitu cha mapenzi huwa automatically hasa kwa hao watu weupe,only timewill tell kama ana haja ya kuwa nawe kimapenzi au urafiki wa kawaida,ukitongoza kwa haraka unaweza kuharibu urafiki wenu na halikadhalika kuharibu kibarua chako!!
:glasses-nerdy:
Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu au la.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona Zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda Bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri
 
vuta subira kaka-tulia kwanza maana inawezekana yeye hana feeling zozote juu yako na kwa kuwa ni bosi wako,akikupa kibuti hio ofisi itabid uhame,mtakuwa arch enemies
 
Kazi kwako!!!!.
 
Unae mpnz au huna..kama unae kamwombe ushauri mpnz wako..nachukia mijanaume suruali kama wewe..huoni hata haya kutamani dollar za mwanamke asowako usojua anakozitoa.nyie ndo mnakufaga na ukimwi.zip ur trouser.si umeshasikia akiongea na boyfriend wake.
 
Mkuu huyo usimtongoze utaharibu. We mpeleke sehemu mnyweshe wine ya kutosha kisha maliza kazi hao ni wa muda tu ukimletea mambo ya future atazngua.
 
Kama anakupenda naye atakuanza yeye!
Si wa kukurukia hao labda hao wa Mexico!
 
Usimtongoze mkitoka out jifanye umelewa mdaa unamuaga mkumbatie mpe lips akizivuta nyonya ikifika hapo usikoseee

Akimaind asbh unamwambia sory i did it under ifluence of alchohol.. unaisingizia pombe
 
Khaa!! Mapenzi kazini ni ujinga uliokubuhu Kama ni uzungu ndiyo unakupagawisha mbona wako wengi tu mitaani na wanauza.. Heshimu kazi bana
 
hv kuna hata mmoja alofanikiwaga zari kama hili atupe mrejesho
 
Usiwe na haraka..mpe kampani na endelea kufanya kazi kwa weledi huku ukiendelea ku maintain ukaribu.Ukikurupuka utaangukia pua.watu wa mataifa hayo ni social sana,ukikurupuka kuomba mashine atakuzingua na kazi utaiona mbaya.vuta subra!
 
Hao viumbe sio watu wa haraka na mapenzi inachukua muda jaribu kuwa nae karibu, wala usithubutu kumtongoza utajimaliza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom