Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

Hapana, sio Ukristo uliondoa utumwa, bali ni mageuzi ya viwanda na ukoloni. Biblia inaruhusu utumwa. Kwahiyo kummiliki mtu kiutumwa si dhambi ktk Ukristo.

Ukristo hauruhusu utumwa. Paulo hakuona sababu kupambana na dola ya Rumi kuhusu utumwa. Hiyo sio kuruhusu. Nilisema Utumwa Pwani ya Afrika Mashariki. Nilikuwa makini. William Wilberforce aliongoza kampeni bunge la Makabwela Uingereza kuishinikiza serikali ya Uingereza kukomesha Utumwa katika Pwani hizo. Wilberforce na wenzie 12 wabunge humo walikuwa Wakristo. Wamishenari Tanzania kulingana na Karl Erik Sahlberg, From Krapf to Rugambwa, walikomboa ama kupokea watuwa waliotoroka mabwana waliowamiliki Waarabu. Wengi walihifadhiwa Bagamoyo misheni kwa Wakatoliki. Tulisema hivyo kutokana na taarifa hizo.
 
Kwani utumwa ulianza miaka ya 1800 labda hata uwataje wana harakati kama hao? Kwani Ukristu ni watu au kitabu? Haya Bible inasemaje juu ya siku ya Sabatho? Isome hadi mwisho ndani ya Bible yako. Bible imetoa maelekezo mengi juu ya kivipi mchamungu anavyotakiwa kummiliki mtumwa/watumwa wake. Soma.
 
Hapana mkuu, historia Inaonesha kwenye imani za dini hizi ndiko kwenye maovu sana. Chukulia tu hata kwetu Afrika, maisha kabla ya hizi dini na baada ya dini. Mfn. Ushoga kwetu unahusishwa zaidi na jamii za Pwani na visiwani ambako dini zina zaidi ya karne kadhaa.

Halafu sheria za Mungu haziko tu kwenye vitabu, Mungu sio Magufuli hata ategemee makaratasi kukupatia sheria zake, zipo tu kwa kila kiumbe, ziko wazi hata panya, nyoka na miti inazijua na kuzitii ama kuzivunja.

Mbwa au paka wanajua kabisa kuiba ni kosa, hili ni bila kufundishwa.
mimi nacho jua mungu alileta sheria au amri kumi tu tena zilikuja kwa mawe yameandikwa.haya mengine tumeandika sisi kujiongezea kupitia roho zetu
 
Kweli tupu,
eti moses aliandika mwanzo,na vitabu vitatu zaidi,sasa sijui walivibebaje,maana semi trail hazikuwepo,kipindi hicho hawatumii karatasi,walikuwa wanatumia udongo ,na kwanini hakuna origin manuscript ya maandishi ya moses,
wakati katika museum kuna maandiko ya zamani kuliko kipindi cha moses.
Wayahudi kushinda jangwani miaka 40,nguo za kuvaa walikuwa wakitoa wapi miaka yote hiyo mle jangwani,

Tathimini wayahudi milioni 2 waliondoka misri,foleni yao tu ingeza kufika saudi arabia kabla haijaisha kutoka misri,
walikuwa wanawasiliana vipi ,wakati hapakuwa na simu za mkononi wala vipaza sauti?,
watu milioni 2 huo ni karibu sawa na mji mzima wa mwanza,
matumizi ya maji ni maelfu kwa maelfu ya galoni,kisima kimoja hakitoshi kukidhi mahitaji,kinyesi walichozalisha ni mlima kwa idadi ile,
ukijiuliza unagundua kabisa hizi story zilikuwa overated.
Sawa na ile story ya mafuriko ya Noah kuwa dunia nzima wakati si kweli,
hii habari ukimwambia mfuasi wa gwajima ,mzee wa busara.. Ooh no.mzee wa upako watakuona una pepo
Lakini Mkuu...
wewe unaamini zamani hakukuwa na tecnolojia zaidi/sawa ya Hii? au unaamini kuwa zamani ndio ilikua watu wanaishi kama simba porini wapo wapo tu?

wewe unaamini vipi mkuu
 
Sijakulazimisha uamini ninachoamini...........
Hujanilazimisha nin wakati ulichoandika ni from ur own mind! Halafu ni kwamba kila atakalo andika mtu humu jukwaani ni kulikubali tuu? Ikiwa hivyo basi ujue iq zetu ni ndogo kuliko za wild animals. What is the power of reasoning?
 
Kwani ni lazima we uamini nilichoandika....tuna fikra tofauti....siwezi kufikiri kama wewe...nawewe huwezi kufikiri kama mimi..
 
Kwa wanaojua hawawezi wakasumbuliwa na hawa Atheists waliojaa si tu Ulaya bali Jf pia.

Katika historia ya binadamu huwezi ukatenganisha civilization na Christianity kwani kanisa limehusika kama mdau mkubwa hata kwa uwepo wa miji mikubwa duniani ambayo leo hii mtu anayejidai yeye bora kama huyu anaringia.
 
Lakini Mkuu...
wewe unaamini zamani hakukuwa na tecnolojia zaidi/sawa ya Hii? au unaamini kuwa zamani ndio ilikua watu wanaishi kama simba porini wapo wapo tu?

wewe unaamini vipi mkuu
kama sikosei kipindi cha musa ni iron age,hakukuwa na karatasi,
walikuwa wanaandikia kwenye tablet ya udongo ama mawe mfano wa zile amri kumi za musa ,ningekuwa na mda ningekuwa picha ya maandiko ya kipindi kile,ili uandike unatengeza tablet yenye unene wa inch moja ndo unaandika,
na kwa lugha ya enzi zile mfano aya moja ya leo utaiandika kwenye tablet moja,
sasa fikiria kitabu cha mwanzo ungekuwa na tani ngapi za udongo kwa kitabu kimoja tu cha mwanzo,
na huo udongo ungepatikana wapi wakati walikuwa jangwani,kwenye mchanga tupu,
na kwanini hakuna maandiko original ya moses
 
300px-Amarna_Akkadian_letter.png
 
dola ya US imeandikwa in God we trust, Mbona hawatukani hao wazungu?
Mkuu umeshasoma historia ya dollar ya US? Nan kakwambia "In God we trust "ina uhusiano na dini? Labda nikumegee kidogo kile wanachomaanisha ktk neno God
G=Gold
O=oil
D=diamond
Kitu wanachomaanisha ni "in gold, oil, Diamond we trust "kwasababu ukiwa na rasilimali hizi wanaamin hata uchumi utakuwa stable
 
Hapo vip!!

Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
Ila huko huko marekani,wapo wahubiri wakizungu,kama pastor John Hagee,na hawa si malofa kama anavyotaka tuamini,wanamhubiri Jesus,na ni matajiri wakubwa,haijarishi ukristo uliletwaje,au ulitumika vipi,Mungu yupo,
Kuitumia dini vibaya,haimaniishi hiyo imani ni potofu,
Sisi Africa,tuliamini,ila tuliamini vibaya,ajira kwa vijana hakuna,magonjwa yameongezeka,ndoa zinavunjika,maadili yameporomoka,haya yote ni matatizo ya jamii,mwaafrica,badala ya kutafuta njia za kisayansi,za kutatua shida zake,anaenda kanisani kuombewa,na kukesha,wakati wenzetu wanafanya kazi,kuvumbua tekinolojia mbalimbali za kutatua matatizo ya jamii,
 
Kweli tupu,
eti moses aliandika mwanzo,na vitabu vitatu zaidi,sasa sijui walivibebaje,maana semi trail hazikuwepo,kipindi hicho hawatumii karatasi,walikuwa wanatumia udongo ,na kwanini hakuna origin manuscript ya maandishi ya moses,
wakati katika museum kuna maandiko ya zamani kuliko kipindi cha moses.
Wayahudi kushinda jangwani miaka 40,nguo za kuvaa walikuwa wakitoa wapi miaka yote hiyo mle jangwani,

Tathimini wayahudi milioni 2 waliondoka misri,foleni yao tu ingeza kufika saudi arabia kabla haijaisha kutoka misri,
walikuwa wanawasiliana vipi ,wakati hapakuwa na simu za mkononi wala vipaza sauti?,
watu milioni 2 huo ni karibu sawa na mji mzima wa mwanza,
matumizi ya maji ni maelfu kwa maelfu ya galoni,kisima kimoja hakitoshi kukidhi mahitaji,kinyesi walichozalisha ni mlima kwa idadi ile,
ukijiuliza unagundua kabisa hizi story zilikuwa overated.
Sawa na ile story ya mafuriko ya Noah kuwa dunia nzima wakati si kweli,
hii habari ukimwambia mfuasi wa gwajima ,mzee wa busara.. Ooh no.mzee wa upako watakuona una pepo
Kimsingi wazungu na waarabu katika issue ya dini wametuweza sana bara la Aftica.
Hoja chonganishi: ni kwa nini waarabu hawakwenda China, Korea, na Japani kupeleka huo uislam wakati ni bara moja? Kwa nini hakuna wamishenari waliopeleka ukristu huko ? Leo tumebakia kuhangaika na habari za Yesu na Muhammad wakati wenzetu wanapeta. Ohhhh Africa!!!¡!!!!
 
Unajiuliza tu,matumizi ya maji kwa watu milioni 2 ni mengi sana,kama ni matenka ya zama hizi,yanaweza fika 300,
hawa watu walikuwa wana move arround,
hayo maji waliyabeba kivije?,

unatembea jangwani,joto kali,jasho linakutoka,hizo nguo lazima zioze tu,miaka 40 ni mingi mno,nani alikuwa anasupply nguo na kwa chanzo kipi.

Jaribu kukusanya watu milioni mbili sehemu moja halafu upaze sauti kuhutubia bila kipaza sauti,ni useless.
 
Back
Top Bottom