Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

A satanist wala sio kitu cha kushangaza kuskia kutoka kwa a satanist, very normal
 
Hapo vip!!

Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
Jina lake tu linaonesha ni Mmarekani muhamiaji, apambane na Utumwa wake kwanza..
 
Amerika ya sasa si ile ya kina Abraham Lincoln. Hivi watu wanafahamu kuwa America was built in Christianity...maraisi wao wote wanaamini ktk Mungu mpka obama alipo anza kuharibu mambo ili kutafuta kura kwa mashoga wasagaji na antj christ akawa hata kusema Mungu tuu ni shida mbali ya kusema marry chtisrimass byt guess what now white house says marry chrissmass for the remaining 8 yrs.
Na trump anazidi kuwa furahisha Americans kutanbua Jruslem na leo wakipigiwa kura ya kutokukubaliwa na wanachama UN wanasitisha misaada yao yote UN na ktk nchi hizo just kwa ajili ya Jerusaleem.
Halafu si kila mzungu yupo sawa wakati wote huyo mzungu wa fb anaweza kupotoka uzungu wake usiwe factor
 
Kuna ukweli mwingi katika andiko la huyo mzungu. Ukiachilia mbali mawigi na,vimini hebu tuangalie jinsi wanavyo muomba huyo MUNGU kwa mikelele na mayenu ilhali BWANA MUNGU ANAPASWA KUOMBWA KWA KWA UNYENYEKEVU NA UTULIVU MKUU!
 
Back
Top Bottom