Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

Hapo vip!!

Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
Wewe ni African American au African? Au unadhani yote sawa? Fcuking idiot.
 
Actually kaongea ukweli kwa namna flan.....lakini hawa ukiachana na kupinga uwepo wa Mungu..... huoneshaga hisia za chuki kwake licha ya kupinga uwepo wake....
Haileti maana umchukie mtu hujawahi kumuona
 
Baridi ya Oldadai ilikugandisha ubongo na ile fluorine ya kule kila anachoandika Mzungu unaona kachana
Siwezi endelea ku argue na wewe coz upeo wa kutafsiri na kuona mambo katika fact bila kukurupuka tumetofautiana
 
Siwezi endelea ku argue na wewe coz upeo wa kutafsiri na kuona mambo katika fact bila kukurupuka tumetofautiana
Kila anachosema Mpuuzi agent wa shetani Trump wewe unaona ni cha maana.
Huyo Mzungu Shoga yako FB alichoandika hapo unaona cha maana unaleta JF
 
Wengi wao ndo hupataga tiketi ya kufanya uovu uliopindukia kama kufanya mapenzi kinyume na maumbile au kubadilisha jinsia zao....washafutaga sheria za Muumba na hawana sababu ya kupata huzuni wanapo fanya dhambi
 
Atheism is an excuse for cowards not to help other people but to demand all the help they can get
 
Hawa majamaa wanaona ni heri waamini binadam alikua sokwe...lakini hawawezi kueleza kwann sokwe zama hizi hawabadiliki
 
Wengi wao ndo hupataga tiketi ya kufanya uovu uliopindukia kama kufanya mapenzi kinyume na maumbile au kubadilisha jinsia zao....washafutaga sheria za Muumba na hawana sababu ya kupata huzuni wanapo fanya dhambi
Hapana mkuu, historia Inaonesha kwenye imani za dini hizi ndiko kwenye maovu sana. Chukulia tu hata kwetu Afrika, maisha kabla ya hizi dini na baada ya dini. Mfn. Ushoga kwetu unahusishwa zaidi na jamii za Pwani na visiwani ambako dini zina zaidi ya karne kadhaa.

Halafu sheria za Mungu haziko tu kwenye vitabu, Mungu sio Magufuli hata ategemee makaratasi kukupatia sheria zake, zipo tu kwa kila kiumbe, ziko wazi hata panya, nyoka na miti inazijua na kuzitii ama kuzivunja.

Mbwa au paka wanajua kabisa kuiba ni kosa, hili ni bila kufundishwa.
 
Ukweli unauma sana, wote tunashahudia na kuona kwenye makanisa mtaani wanawake wanavyogalagala, kulia hovyo, na mwisho kuwatajarisha wale wanaowapulizia Expel!
Tukubali, sisi tunaiga tu dini za watu, zililetwa kututawala kimwili na kiroho, zote, juu yetu kujikomboa..
 
Hapana mkuu, historia Inaonesha kwenye imani za dini hizi ndiko kwenye maovu sana. Chukulia tu hata kwetu Afrika, maisha kabla ya hizi dini na baada ya dini. Mfn. Ushoga kwetu unahusishwa zaidi na jamii za Pwani na visiwani ambako dini zina zaidi ya karne kadhaa.

Halafu sheria za Mungu haziko tu kwenye vitabu, Mungu sio Magufuli hata ategemee makaratasi kukupatia sheria zake, zipo tu kwa kila kiumbe, ziko wazi hata panya, nyoka na miti inazijua na kuzitii ama kuzivunja.

Mbwa au paka wanajua kabisa kuiba ni kosa, hili ni bila kufundishwa.
Utamaduni wa kiAfrika kabla ya kuletwa udini ndo ulikua mbovu sana......kuna nchi za Afrika kipindi hiko zilikua zinafanya uuaji wa vitoto vi changa na watu wazima kama sadaka kwa miungu yao ili ma chief wa koo zao wapate nguvu za giza kukabiliana na majanga yanayojitokeza na pia kuleta baraka ardhi wanayoishi.......udini umepunguza kiasi flani tamaduni hizo
Sasa udini ndo umepelekea machafuko makubwa kule mashariki ya kati......waarabu ndo wanatii maandiko ya dini yao kuliko sie waAfrika......kutokana na dini yao...

Impact kubwa tuliyoipata sie waAfrika ni umaskini tu
 
Mungu yupo, ndo maana ulimwengu na vilivyomo viko precisely balanced kwa namna ambayo siyo co-incidence tu bali kuna super natural being iliyo_ au inayo control. Wanasayansi wana mwita "Mother nature" lakini ndo huyo huyo Mungu.

Mi naona dini has nothing to do with Heaven or Hell but rather a platform for believers to socialise about spiritual issues. As long as mtu anaishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu basi huyo ataiona Mbingu bila kujali yeye ni dini gani and the vice versa.

Ukiishi kulingana na mapenzi ya Mungu unakuwa mwenye furaha sana kiasi kwamba hata kama hakuna maisha baada ya kifo basi unakuwa hujapoteza chochote

Note: Religious extrimism is a very bad staff
 
NA HUYU MWINGINE KASEMA HIVI-A NATION THAT ONLY REWARDS POLITICIANS AND PREACHERS DOES NOT HAVE A BRIGHT FUTURE-HII KASEMA JAN ZIGBE) NAONA NI KAMA KUNA UKWELI HAPO.
Mbona marekani inafanikiwa? Hongera kwa kukariri misemo
 
Hao wazungu imani kwa mungu ishawapotea Wanawaonea wafrica bado maadili wameyashikilia pia wanamcha mungu ,wao hicho kitu kilishawapotea,
 
Back
Top Bottom