In God we trust= In GOLD, OIL & DIAMOND we trustdola ya US imeandikwa in God we trust, Mbona hawatukani hao wazungu?
Mbona tunatokwa sana na povu mimi nimependa pale aliposema wanawake weusi wanaruka na kucheza kanisani hadi mawigi yao yanadondoka
Ila kuna point za ukweli kwenye andiko lake iweje ukubali umeumbwa mfano wa Mungu then unaenda kumuabudu aliyekuumba hivyo na wig
Hapo vip!!
Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
Kumbuka Trump alikiwa haongei kiswahili kwenye kampeni zake.Mm ilikuwa nafuatilia sana na mara kwa akitoa maoni yake kuhusu Afrika.Trump hajawahi kusema hayo unayodai kayasema.
US haijajengwa na dini kamwe, China nimiongoni mwanchi zenye waumini wachache kabisa duniani. Nchi pekee iliyoendelea kwa Dini ni Roma, sadaka za dhahabu fedha na vito, ukwepaji mkubwa wa kodi ndy mtaji wao.huyo ni anti christ mbona US na maendeleo yao ndio upentecoste/ulokole umeanzia uko tena kwa hao hao wazungu ambao wanapinga same sex marriage, kutoa mimba etc
Unajua maana ya GOD ya kwenye dollar ya marekani..acha nkuambie kama ulikua hujui hahahaha wanamaansha GOLD, OIL na DIAMONDdola ya US imeandikwa in God we trust, Mbona hawatukani hao wazungu?
Kumbuka Trump alikiwa haongei kiswahili kwenye kampeni zake.Mm ilikuwa nafuatilia sana na mara kwa akitoa maoni yake kuhusu Afrika.
Labda sisi wanaume ndio chanzo, hatuwabezi nao hufanya yote kutuvutia. Mi huwa hayanivutii kabisa, mtu akiwa halisi ananivutia sana.Kuna ukweli katika maneno ya huyu mpagani mweupe.especialy kwenye swala la mawigi,hivi kwann mpaka leo wanawake wanavaa mawigi aisee tena yenye kufanania na nyele za kizungu.huu ni utumwa wa kifikra.
Hapo vip!!
Nimejaribu kusoma maelezo ya mzungu mmoja, kwenye hyo attachment hapo chini, nikamkumbuka Trump alisema, waafrika tumejee kwenye industries ya dini tukiamini umaskini inaletwa na pepo!!
Baridi ya Oldadai ilikugandisha ubongo na ile fluorine ya kule kila anachoandika Mzungu unaona kachanaPhysically haujachanika lakini economically na technologically umechanika.