Huyu mzee yuko wapi,alivuma sana.

Huyu mzee yuko wapi,alivuma sana.

Mzee yupo kajaa tele samunge anaendelea na huduma za kichungaji kasema tusubirie miujiza mikubwa mingine hivo tuwe na subira.
 
6b58cce2f095eb107b711ab754671b4b.jpg
[emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hivi kwenye huo mkono wa koti huwezi ingiza mkono mwingine?
 
Kazi tunayo. Ndo maana madawa hayapewi kipaumbele zinanunuliwa ndege. Kikombe tu chatosha
 
Mwinjilisti Ambilikile Mwaisapile
Yupo Loliondo Anafanya Huduma Zake
Huyo Hana Makosa Yoyote
Hawa Hapa Ndiyo Wanaiyumbisha Nchi Hii
LUGUMI,EPA,ESCROW,MEREMETA,IPTL,GSM


Huyu Ambilikile Hakuwahi Kupiga Deal Ila Walikwenda Wenyewe
 
Gharama za usafiri zilikuwa kubwa kuliko gharama za matibabu hapo angefanya walau nteze (elfu kumi )bado watu wangetoa akaamua kuwatoa maji mafupi jero duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom