Huyu mzee vipi???!!

Kama all men are dogs, basi all women are lady dogs.....
 

Wewe na huyo mzee ndio mmefunga nini sasa. Au mnaigiza ili muonekane na nyie mko kwenye mfungo. Haiwezekani ikawa ndio mara yenu ya kwanza kufanyiana hiyo mambo. Lazima mtakuwa mmeanza muda mrefu.
 
"All men a Dog" .......... Tafadhali usirukie vitu angani.


Nimejaribu kutafakari kati ya ulichokisema na picha uliyoiweka. Nimeshindwa kuelewa una maana gani!???
 

polee
na wewe kwa nini unakaa kwa shangazi?
au ame notice upweke ulio nao?
umeshapata bf?
 


na yeye anajihesabia amefunga?
 
copied:
uzee mwisho chalinze....mzee anatafuta kibanda cha mapumziko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…