Wazee wengine bhana wanajivunjia heshima wenyewe, nlikua namuheshimu sana lakn sasa hata nkimuona naskia kichefu chefu, aliyesema "All men ar dogs" hakukosea kabisa, huyu mzee mkubwa kuliko hata baba yangu ukizingatia ni mume wa shangazi yangu, naona anataka kunizoea vibaya, juzi nliamka daku peke yangu wengine walikua hawataki kula, sasa tukawa mimi na yeye dining table mara atake kunilisha mara anichum yani I was shocked hadi nkashindwa la kuongea sinc wen mimi na zee kama huyu tukaecti "kuchkuch"................wazee wengine majangaaaaa
Sijui kuna nini na waume wa shangazi. I still remember how my uncle use to look n talk to me.
Unaamka kimitego ulitaka afanyaje sasa au ulifikiri ng'ombe anazeeka maini? Kama ungekua umejisitili vyema wala usingeyapata hayo.
Hana aibh hata na mwezi mtukufu?? Haaaaah!!!
...... "All men ar dogs" ...... baba yangu....
Huna lolote, matangazo tu.
Tumeshajua unamsimamo, japo wenye msimamo wa kweli hawahitaji matangazo.
"all mens are dogs!!?" No, sio kila njano ni yanga
Kumbe baba yako ni .........
Inaezekana, lkn huo udog haezi kunifanyia mm
Au ni Mwanaume au siyo Mwanaume. Kama ni Mwanaume, basi "All men a Dog."
Nilichotaka kukuambia tu ni kuwa "Usitufunge wanaume wote kwenye kapu moja, si vizuri mwaya." Wengine ni Mashoga.