Muulize yule jamaa alikula au alimwekea ngumu
Wenyewe mna kamsemo kenu mnasema "we kuweza" 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣loh
😁😁 we hayaWenyewe mna kamsemo kenu mnasema "we kuweza" 😂
Ukiolewa naye basi dhambi ya kucheat inakuhusuUmri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la,
Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo… kwasababu boss wangu namwita baba hivyo yule na mwitaga baba mdogo…
Basi bamdogo ametokea kunipenda nasikia siku nyingi tu alikuwa anamwambia baba( boss) kuwa amenielewa anataka kunioa… ukweli nimemkataa kutokana na age yake hajafika 50 yupo kwenye 40 na kitu…
Kinachonikera akija mahali tulipo kwenye mitoko analialia ooh ananipenda mimi simtaki mimi naona ananiabisha maana unakuta watu wote wanasema umkubali afate taratibu akuoe
Ameniambia kuwa alikuwa na mwanamke ila hawakufunga ndoa alimzalia watoto mapacha akampa zawadi ya nyumba baadae mwanamke akatoroka na mwanaume Kenya kwaiyo watoto wake huja kumsalimia… amesema yupo serious anataka anioe na ndoa sio kunichezea
Sema tatizo lake ni mfupi kuliko mimi, mweusiii teee, sura yake ya tafadhali nipigie
Ndio weekend yangu inaishia kwa kuwaza ombi la huyu mzee… et nimkubali tu jmn isije nikafika 30s nikakosa mume au nimsikilizie kijana wangu
Wewe bwege, ndo umekuja kunitangaza huku? Kama hunitaki si ukae kimya?Sio nimpe… kasema anataka ndoa kwaivyo niseme aje lini alete mahari
😂 mi HA sio haya😁😁 we haya
Kaka yenuNa kaka yetu ? Au umeachwa na basi
Mi najua shem wangu ni wewe tu hakuna mwingine na hata akitokea simtambui 🤦🏼♂Kaka yenu
Sawa kijana wangu🤭😂 mi HA sio haya
Sawa mahi wangu 😉Sawa kijana wangu🤭
Dah!Yeah ukimuona kwa mara ya kwanza ni kama mwizi hivi
Tena wewe ni mwongo kweli niliona comment yako mahali unamtafutia chaka jipya 😁😁Mi najua shem wangu ni wewe tu hakuna mwingine na hata akitokea simtambui 🤦🏼♂
Shemeji itakua sio mimi, kwako siwezi kufanya hivyo kubwa la mashemeji.Tena wewe ni mwongo kweli niliona comment yako mahali unamtafutia chaka jipya 😁😁
Hapo chacha 🤣🤣🤣🤣Wanaume wa jf na wivu.. sasa hata kama ikiwa kweli wewe unaumia nini
Uzuri wa wazee "kazi ndogo malipo makubwa" sio kama vijana wanasimamia kucha halafu hawana kitu....usiogope mpe tu! Japo uwe makini tu na "jicho" lako..maana ndio sehemu pendwa...usiseme hukuonywa!
Uzi unachekesha huu, haya beba hilo zee lenye sura ya SONGESHA mahi ukajilie maokoto yako ila unaenda kuwapa mabinti zako kazi ya kuolewa baadae