Huyu mzee vipi?

Huyu mzee vipi?

Angalia usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Sio nimpe… kasema anataka ndoa kwaivyo niseme aje lini alete mahari
Wewe ndio unayetaka kuolewa sio sisi..hapa utapewa ushauri wa kila aina ila akili kichwani mwako.
 
Screenshot_20231130_140348_X.jpg
 
ukweli nimemkataa kutokana na age yake hajafika 50 yupo kwenye 40 na kitu…
Age difference ya 20 ndiyo inakushtua? Mama Karume anakuambia aliolewa akiwa 15 japo hajui umri wa mumewe ila anasema huena alikuwa kwenye 40+
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom