Huyu mzee vipi?

Huyu mzee vipi?

Ukipenda maokoto Kuna Gharama zake utazilipa hakika.
Ukipenda kwa sababu ya upendo wa dhati na mwenza wako akakupenda utainjoi,hata Kama huna kitu utaona una kila kitu.

Kuna mzee flani hela kwake siyo tatizo ,na alikuwa anapenda Sana Dogo dogo tena unaahidiwa kiwanja au akikuelewa zaidi unapata nyumba kumbe alikuwa Mgonjwa ukweli aliwaunganisha wengi gred ya Taifa kwa tamaa zao .
Miaka 20 unakimbila wapi? Kama ni utajiri Haya huoo umekuja wahi kwa mzee,kumbuka mjuto ni mjukuu.
 
Umri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la,

Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo… kwasababu boss wangu namwita baba hivyo yule na mwitaga baba mdogo…

Basi bamdogo ametokea kunipenda nasikia siku nyingi tu alikuwa anamwambia baba( boss) kuwa amenielewa anataka kunioa… ukweli nimemkataa kutokana na age yake hajafika 50 yupo kwenye 40 na kitu…

Kinachonikera akija mahali tulipo kwenye mitoko analialia ooh ananipenda mimi simtaki mimi naona ananiabisha maana unakuta watu wote wanasema umkubali afate taratibu akuoe

Ameniambia kuwa alikuwa na mwanamke ila hawakufunga ndoa alimzalia watoto mapacha akampa zawadi ya nyumba baadae mwanamke akatoroka na mwanaume Kenya kwaiyo watoto wake huja kumsalimia… amesema yupo serious anataka anioe na ndoa sio kunichezea

Sema tatizo lake ni mfupi kuliko mimi, mweusiii teee, sura yake ya tafadhali nipigie

Ndio weekend yangu inaishia kwa kuwaza ombi la huyu mzee… et nimkubali tu jmn isije nikafika 30s nikakosa mume au nimsikilizie kijana wangu
subiria uje uonje joto ya jiwe umkumbuke huyo mzee
BTW hakunaga mzee kwenye mapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom