Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,065
- 111,660
Siwezi tumia matirio ya wazee ningali kijana, yaani nihonge nyumba na ujana huu ambayo hata sina ?😂Ohooooo🤣 chukua matirio hapo kwa wazee wewe
Siwezi tumia matirio ya wazee ningali kijana, yaani nihonge nyumba na ujana huu ambayo hata sina ?😂Ohooooo🤣 chukua matirio hapo kwa wazee wewe
Shemeji kaka yetu ana sura ya plz kolo mi pia?Hii mpya kwangu
Kuzoea Nini Mwanangu!Ushazoea
Kwa kweli sijui nicheke ama nilie kumbe sura zetu zina majina 😁😁😁Shemeji kaka yetu ana sura ya plz kolo mi pia?
Ndio kuna wengine wana sura ya kudaiya madeni ya mikopo benki 😀Kwa kweli sijui nicheke ama nilie kumbe sura zetu zina majina 😁😁😁
Yule ana sura ya tatu mzuka 🤨
Mhusika mwenyewe atatoa maelezo vizuri😁Hiyo ya 3 mzuka ndio ipoje?
Kuzoea Nini Mwanangu!
Utoto Raha sana yaani
Ngoja ufikishe miaka 27 na kuendelea sidhani kama utakuwa unaleta nyuzi za kitoto kama hizi
Shemeji utaachika 😂Mhusika mwenyewe atatoa maelezo vizuri😁
Mimi nimeachwa mda shemela 😁😁Shemeji utaachika 😂
Na kaka yetu ? Au umeachwa na basiMimi nimeachwa mda shemela 😁😁


Kubali tuu, mpe yote akitaka na mku... Mpe tuUmri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la,
Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo… kwasababu boss wangu namwita baba hivyo yule na mwitaga baba mdogo…
Basi bamdogo ametokea kunipenda nasikia siku nyingi tu alikuwa anamwambia baba( boss) kuwa amenielewa anataka kunioa… ukweli nimemkataa kutokana na age yake hajafika 50 yupo kwenye 40 na kitu…
Kinachonikera akija mahali tulipo kwenye mitoko analialia ooh ananipenda mimi simtaki mimi naona ananiabisha maana unakuta watu wote wanasema umkubali afate taratibu akuoe
Ameniambia kuwa alikuwa na mwanamke ila hawakufunga ndoa alimzalia watoto mapacha akampa zawadi ya nyumba baadae mwanamke akatoroka na mwanaume Kenya kwaiyo watoto wake huja kumsalimia… amesema yupo serious anataka anioe na ndoa sio kunichezea
Sema tatizo lake ni mfupi kuliko mimi, mweusiii teee, sura yake ya tafadhali nipigie
Ndio weekend yangu inaishia kwa kuwaza ombi la huyu mzee… et nimkubali tu jmn isije nikafika 30s nikakosa mume au nimsikilizie kijana wangu
Endelea kujifurahisha tu mdogo wangu, nakushauri anza kujipenda Mwenyewe kwanza na wengine watakupenda tu. Usitafute attention za watu humu hasa kuhusu mambo ya mahusiano na mapenzi. Kama kweli unapata bahati kama hizo usizitangaze Kuna Dada zako wengi wanazitafuta kwa udi na uvumba ujue 🤣Wewe ushafika
🤣🤣🤣🤣🤣🤣lohSiwezi tumia matirio ya wazee ningali kijana, yaani nihonge nyumba na ujana huu ambayo hata sina ?😂