Huyu mwanaume simuelewi

Wapo mkuu believe me.

Kama vipi anzia hapa hapa jukwaani. Unajua kuna vichwa vya maana hapa na watoto na maisha yao sio njaa.

Keep searching bro, he who searches carefully never fails to find
 
Naunga mkono hoja
 
Teh! Teh!
Ujue romanticism nayo ikizidi ni tatizo lingne? I have a friend, she's super romantic mpaka mwanzoni mwanzoni nikawa nahisi maybe she's lesbian nikawa namkwepa kumbe wala mtoto wa watu ana mahaba yake tu mixer madeko
Na hapo ndio nakupendea sasa.

Hizi habari za romanticism naonaga uduwanzi.

Mtu nawaza hela inaongezekaje wewe kila saa masimu tu hahahahahahaha
 
Hivi nyie akina dada mnataka nini mbona hamweleweki? Angekuomba mzigo siku ya pili tu bado ungekuja kuomba ushauri... Sasa cha kufanya mpeleke hotel ukaanze wewe hapo ndo utapata mawazo yako binafsi nini ufanye.
Jamaa kakutana na kahaba, sasa huenda keshashitukia mchezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…