Huyu mwanaume simuelewi

Sisi walokole haturuhusiwi kufanya hivyo unavyovitaka kabla ya ndoa..Kuwa mvumilivu mkuu..
 
Aiseeeeee
 
Aiseeeeee

Msiwadharau ndugu zetu. Mkuu hujakutana na wanawake wanaojielewa
Aisee nielekeze walipo mkuu nikaopoe hata mmoja nione ladha yake katika mapenzi.

Maana mademu wengi wa sasa ni mbigiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Demu anataka awe na wewe ili umsolvie mashida yake ukija kumpata mwenye moyo wa kukupa hata boxer unashukuru!
 
Wapi crime 😜

Mkasa nimeusikia na uko very interesting. Vipi sijaona bado ushauri wako?
Kwa hiyo huamini kama uharamia nimeacha???

Huyu unadhani anataka hata kushauriwa?? Mwisho wa siku atajishauri mwenyewe wewe tulia tu
 
Malengo yakishapishana tu, hapo biashara hakuna.

Navyomwona jamaa ni aina ya watu wanaotafuta mtu wa kutulia naye for good, the guy is trying to take his time.

Ila sasa ameangukia kwenye wrong target.
Hahahaahahahahahahah.

Sema kidogo kidogo bro wasikuskie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…