Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Hivi unatoa deadline kwa mtu ambae hata hajui kama kuna deadline...! si muongee tu, unawezakuta anamatatizo ambayo ungeweza kumsaidia....kuuza game si issue, fanya utafiti kwanza
 
Unamshtua mwanaume wakati umevaa jinsi utasubiri sana.Manake nyie wanawake wasiku juzi balaa.Kama anaendelea kutokuelewa njoo bibie nikupe joto la miezi kadhaa
Hhahaha Wingu anamshtua akiwa kavaa jinsi??? Haha sie wa siku hizi bwana yaani tukijitahiiiidi sana tunatinga skin tight ndio tunaona tunaseduce maaaaaan kuna vichokoza mume wajameni vinavyoendana na mwili wako. Usafi, manukato si mpaka uwe unaenda kanisani, kuna vi-guo vya kuzimia TV mbele yake; kuna vya kukunjia nne mkiwa mnekaa wenyewe kuna vya kukimbia mende; kudandia juu ya kiti ilmradi full vituko.
 
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

Sura na umbo lako si baya?

Hunuki?

Huna makero madogo madogo na mdomo usio na staha mbele za mwanaume?

Hukumpata kwa madawa?

Kama hayo yote ni SI, basi huyo si mwanaume. Uume si kijiti bibie kiasi usimame tu hata ukiona mwanaume mwenzio. Yawezekana wewe si mwanamke ila tu una sehemu za siri za kike.

Wanajamvi yapaswa mkumbuke kuwa: 'Mtihani si tu ni kipimo cha uelewa wa mwanafunzi, bali pia ni kipimo cha uwezo wa mwalimu kumfundisha mwanafunzi asiyeelewa'

Yawezekana dada yenu analalamika wakati yeye hana mvuto au ana shida.
 
Kuna wanawake wana midomo mpaka wanapelekea wanaume wanakosa kujiamini-Mdomo Mchafu

Kuna wanawake wamebweteka hata mswaki hawapigi lkn ndio wa kwanza kuleta mamidomo yao kinywani mwako wakati wa sex- Mdomo Mchafu

Kuna wanawake wanalaana jikoni. Wao ndio mabingwa wa kupika vyakula vya hovyo na kuwapa waume zao wale bila kuzingatia vyakula hivyo vilivyojazwa mafuta si vyema kwa afya ya mwanaume - Ujinga wa Jikoni

Kuna wanawake ni magume gume. Wao hisia zao ziko kwenye uchi tu lkn hawawezi kuzionesha usoni kiunoni na hata kwenye namna yao ya kutembea chumbani - Kutaka usawa

Wanawake wanapaswa kufahamu tofauti tuliyonayo kimaumbile. Kile kitu sio kipande cha mti kusema kinasimama saa zote. Huyo anayelalamikiwa hapo usikute akimkumbuka fulani hata kama hajamuona, kitendo cha kumkumbua, tayari Amdala Kichwawazi keshasimama.

Badilikeni sio kuja kuzungumza utumbo hapa. Hamna kitu inakera kama mdomo unaonuka au unaotoka maneno machafu
 
Afu mtu analalamika mkewe anatoka nje ya ndoa,na wakati anashindwa kumkuna
Mi wangu huwa anapumzika in danger days tu,siku zilizobaki ni mzk kwenda mbele
ana experience Orgy daily.
umri ukifika utakumbuka kama sio mmeo basi mmoja wenu atakuwa na matatizo kwa ngono baadaye ngono sio chakula kila siku mwili lazima upumzike na sikila siku.jaribu kupumzika uone tendo utakavyokuwa unalifurahia
 
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

Hahahahaha! Chema chajiuza kibaya chajitembeza! Labda huna sifa za kudhuriwa, zamani ulikuwa nazo, jamaa akawa anakudhuru, sasa zimetokweka, naye anawadhuru hao wenye sifa, kazi kwako kurudisha sifa zako za kufaa kudhuriwa!
 
Preta njoo mama twende nikakudhuru!! nina sumu kali Jmoc hii
 
Yaani kwamba wewe umeshindwa kumtega? Eh we bi dada hebu uwage unakuja PM kwanza kabla hujarusha hadharani. Kwa mwanamke mbona ni rahisi tu kugeuza hali ya hewa best? Mashamushamu, ucheshi, upendo khanga za India, maji n.k umevimaliza?

Jamaa amechoka kuua mende
 
Huyo kakuwekea tego ukienda nje unanatana...........!
 
Shoga tabu yote ya nini?
Kula vichwa kama huna akili nzuri.
Ukiona hvo,ujue kuna mtu anammwagia wazungu wake.
Ukishindwa nitakusaidia.
Wanaume wanakera kwa kweli.

Ngoja akanate.........!
 
Mwenzio anamaliza mambo yake saa6-9mchana, anarudi ofisini anafungasha na kurudi kwako akiwa kajichokea...
Akicheza na wanae nusu saa basi ni usingizi wa hatari na kumuwaza yule anayempa mibinuko ya sarakasi!
Chukua hatua!..Tafakari!
Source: lara 1

Siyo mibinuko tu labda anampa nyota 0713.....................!
 
Last edited by a moderator:
mkalie zile style ambazo unajua zinamtoa nyoka wake

Mmmmmh kuna staili nyingine anaweza kuwa kituka jamaa akaanza angua kicheko............
Hapo ndo utachanganyikiwa kabisa.......!
 
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

......hata mie nisingevutiwa na huo mwonekano wako wa kishari shari, kha?

Calm down and make urself "approachable"....
 
Mdogo wangu, nenda naye polepole huyo mwanamme, kwani atakuwa na sababu maalumu ya kukuchunia. Wanaume ni kama watoto wadogo, wanategeka kirahisi tu ila katika wakati maalumu. Waweza kunipa PM nikupe mbinu nyingi zaidi za medani za kuweza kumtoa nyoka pangoni. Time will tell, weka tumaini lako kwa Mungu Baba.
 
Back
Top Bottom