Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Mara nyingi huwa tunakimbilia kutupa lawama kwa wapenzi wetu kupoteza hamu ya kuwa na sisi bila kujichunguza na sisi kwa upande wetu tumefanya nini mpaka hali imefikia huko.

Kutoka nje ya ndoa na kutembea na watu hovyo si suluhu ya kusolve tatizo lako la ndoa, badala yake utaishia kupata magonjwa, kufumaniwa na pengine hata kunasa na hatma yake kuja kufia mbali! Jambo la kujiuliza ni Una ushahidi gani kuwa mwenzio hupata tiba nje ya ndoa? Kwa nini usitafute sababu halisi ya tatizo na kutatua ili mrudi kama zamani kuliko kukimbilia kugawa? Ukiendelea kugawa utagawa mpaka lini? Unajisikiaje kuwa msaliti ndani ya ndoa yako mwenyewe?

Sikia, kaa chini, angalia mwenendo wako na mapungufu yako. Kisha mwite mumeo mkae myasuluhishe. Unaweza kutafuta wamama watu wazima wenye akili zao wakakufundisha namna ya kumrudisha mwanaume aliyefikia hatua hiyo. Unaweza kuwapm na akina Kaunga, nyumba kubwa, Kongosho, nivea, FP , snowhite, gfsonwin, FP na wengineo mpeane kitchen party ya ukubwani! Si jambo jema kuchukua hatua unazozifikiria.

Kila la kheri,
HorziPawa.

thanx kwa ushauri wako, yani unajua nimechanganyikiwa live..
 
Mkuu nendiwekilasa,

Pole..lakini usitumie lugha kali na mbaya sana kwa mmeo(presumably) mf. ("Lipo" tuu, "lipo" busy, "lipo" macho)..nadhani ungejiuliza ni wapi kuna shida...yaani kwako binafsi, kwa mwanaume au kati yenu wote.

Kwa kuanza(Kwako binafsi), hakuna jambo ulilomkwaza na hivyo akaamua "kukuadhibu" kwa njia hiyo?kama hakuna jaribu kuongea naye/kudadisi pengine kuna jambo linalomsumbua hata huko kazini(work under pressure) linalomfanya awe jinsi alivyo sasa.
-Kama hakuna kati ya hayo then labda kuna shida kati yenu wote.

Personally, nadhani unamwamini maana kipindi hicho chote kama usinge mwamini "usingempa hiyo nafasi ya kusema leo basi" hivyo Kumbuka yale mazuri mliyokuwa mnafanyiana mwanzoni mwa uhusiano, unaweza kujaribu pia..
Waweza muandaa toka akiwa kazini(kumfanya atake kuwahi nyumbani..kwa mambo mazuri ofcourse)...kwa namna yeyote ile, pili mapokezi na jinsi atakavyojaliwa atapofika nyumbani, mazingira(kumbuka ndiyo weekend hii)..vinaweza kumfanya kubadilisha mawazo hata kama alikuwa hataki hapo mwanzo.

Tafadhali usitoke nje, wiki moja ni ndogo sana(sina kipimo cha kusema muda flani unafaa) lakini jiulize kama ulishawahi kuwa mjamzito, au pata uzoefu wa marafiki waliokuwa wajawazito tayari..waume wao hawakutoka nje, waliendelea kuvumilia hivyo hivyo! Na je, ukitoka nje ukagundua kuwa alikuwa anatatizo kweli utafanya nini? Na yeye akifanya kulipiza kisasi, au wakati wa ujauzito when you need most(mfano tu)!?

Punguza hasira, dadisi shida iko wapi, muandae(atamani kurudi kukuona), mtegemed Mungu yatakwisha.
Goodluck.
Nisamehe sana kwa lugha hizo kali nlizotumia, yani unajua wakati naandika nlikua nina hasira hadi mikono ilikua inatetemeka, sura nimeikunja, mdomo nimeuvuta, yani nlikua naandika huku nasonya tuu, ujue hadi kichwa kikawa kinauma. Nitafanya kama ulivyo nishauri
 
Uko wapi wewe!yaani hata mie wife kafunga vioo wiki sasa!hebu tutafutane basi! Lakini cheki kwanza kama hajaweka kinasio

KInasio dawa yake ndogo tu mbona..wakati unaduu..weka pilipili kichaa kwenye ...halafu nyingine weka machoni..basi weee hata ikiwaje dawa haishiki hapo..
 
mara nyingi huwa tunakimbilia kutupa lawama kwa wapenzi wetu kupoteza hamu ya kuwa na sisi bila kujichunguza na sisi kwa upande wetu tumefanya nini mpaka hali imefikia huko.

Kutoka nje ya ndoa na kutembea na watu hovyo si suluhu ya kusolve tatizo lako la ndoa, badala yake utaishia kupata magonjwa, kufumaniwa na pengine hata kunasa na hatma yake kuja kufia mbali! Jambo la kujiuliza ni una ushahidi gani kuwa mwenzio hupata tiba nje ya ndoa? Kwa nini usitafute sababu halisi ya tatizo na kutatua ili mrudi kama zamani kuliko kukimbilia kugawa? Ukiendelea kugawa utagawa mpaka lini? Unajisikiaje kuwa msaliti ndani ya ndoa yako mwenyewe?

Sikia, kaa chini, angalia mwenendo wako na mapungufu yako. Kisha mwite mumeo mkae myasuluhishe. Unaweza kutafuta wamama watu wazima wenye akili zao wakakufundisha namna ya kumrudisha mwanaume aliyefikia hatua hiyo. Unaweza kuwapm na akina kaunga, nyumba kubwa, kongosho, nivea, fp , snowhite, gfsonwin, fp na wengineo mpeane kitchen party ya ukubwani! Si jambo jema kuchukua hatua unazozifikiria.

Kila la kheri,
horzipawa.
i wud be very happy to help!
 

weee nilijaribu kufanya hilo jaribio usiku wa manane, nikamtaimu nikaanza kumfanyia vimambo mambo jamaa huko uvunguni akawa keshakubali, ile nataka nidandie, lahaula nkaskia mtu kaamka eti ananiuliza UNATAKAJE?basi nguvu ziliniisha hapo hapo, wacha nione aibu.
 
Bibie habari yako, kwanza punguza munkari na ondoa maneno ya kejeli maana huko nje kuna wanawake wana uke mtamu kuliko hata huo mdebwedo ulio nao. Umetutusi wanaume na kutudhalilisha hapa jamvini.
Kaa chini na mumeo uongee naye na utumie maneno haya haya uliyotumia hapa jukwaani, kifuatacho ITV itakua ndio suluhisho la ndoa yenu, otherwise jifunze adabu kwanza alaaah!

unisamehe tuu ndugu yangu, kuchanganyikiwa huko. Nawaomba radhi wote ambao nimewakwaza kwa comment yangu
 
Pole sana , , ,hapo kuna tatizo la kiemotional. . . .
Hebu leo akirudi akukute umepiga soap soap ,umejifukiza/pulizia marashi ,ndani ya kanga moko ndembendembe full kujipitisha upo busy kama humuoni na zaidi kuwa busy na simu unawasiliana na mashosti wako . . . .asipokuona basi ujue kuna tatizo zaidi la msingi. Fanya udadisi.
 
nendiwekilasa
hebu relax kwanza my dear!
haya mambo wala hayataki hasira
mwanamke akiwa na hasira havutii unajua!and wat yu need is to make ur man see yu sexy right,so that he can make a move
hebu tuliza moyo kwanza!
 
Last edited by a moderator:
Ujue kila mwanamke ana ujasiri wa aina yake

Mie mtu akijifanya busy, awe busy kweli, awe kajibizesha
Huwa sijali sababu sheria inanilinda mwanamme habakwi

Huwa nahakikisha, nimembaka na nikimaliza nasinzia kwa raha zangu
Lakini kile kitendo cha kujidai mtu hajui wajibu wake ndio kinakera

Sasa huyu mleta mada bado anaonekana anaishina wanamme kwa hisia zaidi
Wakati mwingine ishi na mwanamme kwa mahitaji zaidi, DAI unachohitaji kutokwa kwake kama kipo ndani ya uwezo wake

Akikataa kusimama wakati wa ubakaji, ita hata Majembe Action Mart kwa msaada zaidi

unajui inauma sana mtu unamdai kabisa alafu yeye anajidai hana habari, jana usiku wee hamu yote iliniisha, nikaogopa asijeenda polisi bure kushtaki nataka kum-baka
 
Bibie habari yako, kwanza punguza munkari na ondoa maneno ya kejeli maana huko nje kuna wanawake wana uke mtamu kuliko hata huo mdebwedo ulio nao. Umetutusi wanaume na kutudhalilisha hapa jamvini.
Kaa chini na mumeo uongee naye na utumie maneno haya haya uliyotumia hapa jukwaani, kifuatacho ITV itakua ndio suluhisho la ndoa yenu, otherwise jifunze adabu kwanza alaaah!

uncle watu8 kwani umeshapona?
mh!mi nilikuwa nakutegemea hapa by jumamosi hivi!ur too gonjwa for this makitu ,dah!
kweli thermometer yetu ile kiboko!yani umepona fasta sana !lol
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikuulize baada ya kudhuria huwa unafanya nn? mana yawezekana anaogopa kukudhuru asije akajisikia vibaya
 
Pole sana , , ,hapo kuna tatizo la kiemotional. . . .
Hebu leo akirudi akukute umepiga soap soap ,umejifukiza/pulizia marashi ,ndani ya kanga moko ndembendembe full kujipitisha upo busy kama humuoni na zaidi kuwa busy na simu unawasiliana na mashosti wako . . . .asipokuona basi ujue kuna tatizo zaidi la msingi. Fanya udadisi.

hahaaa.. basi ngoja leo jioni akirudi atanikuta na hilo poz i hope lazima limtoe nyoka pangoni tena huku anapiga vigelegele
 
pole dada punguza hasira
hasira hasara......
unavyozidi kukasirika utajipa maamuzi mabaya ukajajutia baadae
jitahidi kumliwaza/kuwa naye karibu fanya yale uanyojua anapenda
hata kama kuna mtu anajaribu kuchukua nafasi abadilike na kujitambua amekosea
 
Unamshtua mwanaume wakati umevaa jinsi utasubiri sana.Manake nyie wanawake wasiku juzi balaa.Kama anaendelea kutokuelewa njoo bibie nikupe joto la miezi kadhaa
 
Sheria za Tanzania mwanamme habakwi
Anashawishiwa tu, na wwe kama mkewe huwezi kumfanyia shambulio la aibu

unajui inauma sana mtu unamdai kabisa alafu yeye anajidai hana habari, jana usiku wee hamu yote iliniisha, nikaogopa asijeenda polisi bure kushtaki nataka kum-baka
 
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

hahaha sasa umejaribu kuvaa khanga moko aalafu papuchi imeshalowa ukamuonyesha inavyomeremeta? akikataa hapo basi umeshabwagwa lol
 
Back
Top Bottom