Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,152
Unakalia wapi vile?
Duu nawe mbona unamtukana bana badala ya kumshauri kwa busara nini cha kufanya. Its not good kwa kweli.Bibie habari yako, kwanza punguza munkari na ondoa maneno ya kejeli maana huko nje kuna wanawake wana uke mtamu kuliko hata huo mdebwedo ulio nao. Umetutusi wanaume na kutudhalilisha hapa jamvini.
Kaa chini na mumeo uongee naye na utumie maneno haya haya uliyotumia hapa jukwaani, kifuatacho ITV itakua ndio suluhisho la ndoa yenu, otherwise jifunze adabu kwanza alaaah!