mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.
hahahahah wanaume haooo yaan mwee wanakeraga sometimes wanajifanyaga wako busy sometimes full kua na milaptop ya kazi mpaka nyumban afu sasa bora awe anaacha mshiko wa kutosha kwa ajili ya familia....fyuuuuuuuuuuuuuuuuuu