Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

Inatakiwa mzungumze na uwe na busara sana ili umrudishe kwenye mood sababu hapo brain iko disturbed,yaani ukimkaripia au ukimbugudhi tu hantoweza tena hata kwa dawa.....imeshanikutaga mara nyingi kitaalam inaitwa Sexual Performance Anxiety inakuwa triggered na stress life style,kutumia mazingira yaleyale miaka nenda rudi nk...,ila mke huwa anakuwa mwelewa na taratibu ananirudisha kwenye mood mambo yanaendelea ...maelezo zaidi soma hapo chini;

Sexual Performance Anxiety In Men

Anxiety about sexual performance is an awful pit to slip into -- and one that is, unfortunately, very common and politically correct in that it can happen to anyone, any gender, any age, any personality type, any IQ. It messes with one's sense of self esteem and self worth and can spread into other areas of performance, causing general and wide spread problems with confidence. Sexual performance anxiety can be caused by even a very brief simple event -- even in very stable, emotionally healthy individuals

Men who have sexual performance anxiety usually worry about whether they do get a penile erection and when they are about to have sex, they lose their erection, or it can be that when they are actually in the course of having sexual intercourse, they lose the genital erection, or they don't get their 'thing’ stubbornly up at all.
This is a self-fullfilling fear. So a guy whose brain warns him that it might be a problem if he can't get erect, can't get erect because of the warning.
Sexual performance anxiety can happen to men in any of those situations. The real deal is usually that you are focusing relatively on the final goal, which is of course orgasm, or pleasing your partner with an orgasm, instead of focusing on all the rest of what goes on in the sexual encounter.
 
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.
Mpe jicho
 
Akijifanya chizi na wewe uwe chizi tena zaidi yake mtouch ukiona anajifanya anasogea mbali na wewe mwambie live kuwa nataka kudhulika sasa hivi na sina mzaha
 
Shoga tabu yote ya nini?
Kula vichwa kama huna akili nzuri.
Ukiona hvo,ujue kuna mtu anammwagia wazungu wake.
Ukishindwa nitakusaidia.
Wanaume wanakera kwa kweli.
huyo labda kama kuna mtu anamwagia waarabu.wanaomwaga wazungu hawawi hivyo.
 
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

punguza munkari wew
 
Pole yako sana,tafadhari karibu sana kwa PM ntakutimizia yote mazuri uyajuayo au kuyasikia.
 
Poleeee.. Angalia tu usiparamie wa mtu.. Iwe balaaaaa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mara nyingi huwa tunakimbilia kutupa lawama kwa wapenzi wetu kupoteza hamu ya kuwa na sisi bila kujichunguza na sisi kwa upande wetu tumefanya nini mpaka hali imefikia huko.

Kutoka nje ya ndoa na kutembea na watu hovyo si suluhu ya kusolve tatizo lako la ndoa, badala yake utaishia kupata magonjwa, kufumaniwa na pengine hata kunasa na hatma yake kuja kufia mbali! Jambo la kujiuliza ni Una ushahidi gani kuwa mwenzio hupata tiba nje ya ndoa? Kwa nini usitafute sababu halisi ya tatizo na kutatua ili mrudi kama zamani kuliko kukimbilia kugawa? Ukiendelea kugawa utagawa mpaka lini? Unajisikiaje kuwa msaliti ndani ya ndoa yako mwenyewe?

Sikia, kaa chini, angalia mwenendo wako na mapungufu yako. Kisha mwite mumeo mkae myasuluhishe. Unaweza kutafuta wamama watu wazima wenye akili zao wakakufundisha namna ya kumrudisha mwanaume aliyefikia hatua hiyo. Unaweza kuwapm na akina Kaunga, nyumba kubwa, Kongosho, nivea, FP , snowhite, gfsonwin, [MENTION]FP[/MENTION] na wengineo mpeane kitchen party ya ukubwani! Si jambo jema kuchukua hatua unazozifikiria.

Kila la kheri,
HorziPawa.
Well said Horse Power. Dawa ya tatizo ni kutafuta namna ya kulitatua na sio kukimbia tatizo. Kama ukitoka nje.. Utatoka mpaka lini??? Au ndo utahamia huko ? Na je ndio utakuwa umetatua tatizo la mumeo kutokukudhuru?? Kufanya hivi ni kuleta mifarakano zaidi ndani ya ndoa na magonjwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kutembea nje kama sehemu ya kulipiza kisasi cha mapenzi si jambo jema hata kidogo na liepuke kama ukoma. Kwa upande wangu kama mke/mume amenitibua kiasi cha kunilazimisha kutembea nje ya ndoa jua hapo sitaweza kumrudia au kumheshimu tena kama mke/mume. Ni maamuzi ya mwisho kwa mahusiano na itakuja baada ya kusuluhisha sana hayo mambo ambayo yahasababisha kutodhuriana!! Kama wote mko health jambo na kudhuriana katika ndoa ni must na si kuomba!! Kwanza ni tamu sana kwa nini ukae muda mrefu bila kufurahia?
 
Bibie habari yako, kwanza punguza munkari na ondoa maneno ya kejeli maana huko nje kuna wanawake wana uke mtamu kuliko hata huo mdebwedo ulio nao. Umetutusi wanaume na kutudhalilisha hapa jamvini.
Kaa chini na mumeo uongee naye na utumie maneno haya haya uliyotumia hapa jukwaani, kifuatacho ITV itakua ndio suluhisho la ndoa yenu, otherwise jifunze adabu kwanza alaaah!

Haha hahaa watu8 mbona unatoka povu bana... Mwenzio anataka mtu wa kumdhuru ati na uvumilivu umemshinda. Huo munkari unatokana na ukame alio nao.. Otherwise sio lazima na wewe ulipize kwa maneno mabaya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haha hahaa watu8 mbona unatoka povu bana... Mwenzio anataka mtu wa kumdhuru ati na uvumilivu umemshinda. Huo munkari unatokana na ukame alio nao.. Otherwise sio lazima na wewe ulipize kwa maneno mabaya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahaha yaani mtoto wa kike kashindwa kukaa kitako na mumewe wayaongee...mi nina wasiwasi huko nje atakutana na waalimu watamchakachua mpaka ndoa ataitelekeza
 
uncle watu8 kwani umeshapona?
mh!mi nilikuwa nakutegemea hapa by jumamosi hivi!ur too gonjwa for this makitu ,dah!
kweli thermometer yetu ile kiboko!yani umepona fasta sana !lol

hehehe nipo fit kiasi chake mtani...si wajua mjasiri haachi asili
 
Mwanangu Malivawan10 usimponze mwenzio. Ulichomshauri ni kibaya sana sawa na mashoga wa kishwahili. Badala ya kumshauri aongee na huyo anayetaka amdhuru ajue tatizo ni nini, unamshauri amwanga mafuta kwenye maji! Nionacho ni kwamba huyu mama anatafuta miwaya na hana busara. Angekuwa na busara angemkabili huyo mumewe na kuuliza kunani badala ya kulalamika na kutafuta fursa ya kutimiza ushetani wake wa uzinzi. Kila tatizo lina jibu kama akili na busara vikitumika.
Nawe Nendawekilasa uache papara hii dunia ni kubwa. Ukijidanganya ukaanza kufakamia kila mwanaume utaisha kwa ngoma siku si nyingi. Huenda mwenzio keshastukia hulka yako ya kutaka kujistarehesha na kila mtu. Tuliza majeshi ufikiri na kutumia busara na njia za kisayansi. Unadhani ukizini ndilo jibu? Sana sana utatengeneza matatizo mengine mengi. Tumia akili yako badala ya kutegemea kushikiwa.
 
Mie kuna siku nilisema hapa
Watu wakabiiiiisha
Mwanamme akiwa busy tu, anakata service

Huna zombie bibie?
Imekaa sawa mradi tu ubize usije ukawa kisingizio kumbe mtu ana shibe zake! Mimi sikubali kabisa nitamng'ata hata meno ili iwe kumbukumbu kwake asiniletee mambo ya ubize siku nyingine.
 
Aise..maisha haya mmh..!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom