Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyo mwanaume anaujua udhaifu wa huyu bi dada, anajua kuwa anahitaji sana ndoa ndio maana anafanya hivo....
Utakuta huko ana kitoto kipya namba D anahudumia tu (na nakumbuka huyu dada alishamfuma na kabinti wala mwanaume hakushtuka).
Ndio maisha aliyoyachagua lakini, acha awaoneshe tu walimwengu kuwa nae anaolewa wakati hana furaha
uwiii na umekaa hapo unauliza wanaJF?! ebu mtafutie mwenzio hiyo shilingi elfu arubaini jumapili akajiachie na kabinti hahahhaha jamani wanawake wengine mnatia hasira
 
Hiyo kama imenipa ahueni.... Wanawake mnayaweza maisha tena vizuri bil msaada wa wanaume mimi naamini hili...
Tukiwa wenyewe, ila mkishajileta tu kwenye maisha yetu basi mjue sisi ni jukumu lenu. Ndio uanaume huo hamtaki basi mje tuolewe wote tu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Yani mwanaume mzima, aenda kwenye geto la mwanamke, anakula analala asubuhi anaamka anaking'uta pmb anasepa na bado aomba kukopeshwa hela, aah ***** zake!!!!!
Majukumu yake nani amfanyie?
Te he he he! Hata mtukufu alisema maisha magumu tusicheke na wajinga! Hapo unakuta amekupigisha kwata usiku kucha tena anakula kama kesho harudi! na Maini umepika! Anaondoka anaacha buku 5 chaaaa MAMBO YAKULA KUKU NA KULIPA NG'OMBE siyawezi unless I give him for charity!
 
Nimeenda mbele nikauliza ni kweli kuna wanawake hawawezi kuishi bila pesa ya mwanaume??

Huyu mwanamke hawezi kuishi akam-shit akajisimamia mwenyewe ? Mbona wanawake tunawaona mitaani wanasongesha maisha wenyewe baada ya kuona wanalaliwa na wanaume.

Huyu dada anamhitaji huyo mwanaume zaidi ya anvyohitajika yeye. Kikubwa aamini anaweza kuishi yeye kama yeye kitu ambcho baadhi ya wanawake hawaamini
Point...!!
 
Apambane na khali yake tuu, kusoma hajui, hata picha jamanii
Me kuna mdada yanii mpaka nafsi ikawa inanisutaa.!! Nlikuwa nampotezeaa mpaka too much lakini wapii hajawahii nipotezea...Msg...calls kilaa saa me sina hata muda naee.. Wadada mkipenda ni shidaa
 
Nimeenda mbele nikauliza ni kweli kuna wanawake hawawezi kuishi bila pesa ya mwanaume??

Huyu mwanamke hawezi kuishi akam-shit akajisimamia mwenyewe ? Mbona wanawake tunawaona mitaani wanasongesha maisha wenyewe baada ya kuona wanalaliwa na wanaume.

Huyu dada anamhitaji huyo mwanaume zaidi ya anvyohitajika yeye. Kikubwa aamini anaweza kuishi yeye kama yeye kitu ambcho baadhi ya wanawake hawaamini
kuishi bila pesa ya mwanaume inawezekana ndio maana mpaka sasa anamfuga huyo mwanaume kwa pesa yake, itafika mahali watakua na familia mahitaji yanaongezeka, watoto, chakula, ada, kujenga n.k huoni hili zigo lote litakua la bi dada...
Mwanaume wa hivi ni wa kuogopa, mwanamme mdangaji sio wa kukaa nae.
Hivi akisaidiwa na wanaume wenzie majukumu atalaumu???
 
uwiii na umekaa hapo unauliza wanaJF?! ebu mtafutie mwenzio hiyo shilingi elfu arubaini jumapili akajiachie na kabinti hahahhaha jamani wanawake wengine mnatia hasira
Kuna binti nae alikuwa wa hivi hivi siku kaombwa 50elfu akatuma, akashangaa mwanamke ndio anampigia na kumshukuru kwa kuwapa pesa ya kutumia w.end, nusura azimie.
 
Tukiwa wenyewe, ila mkishajileta tu kwenye maisha yetu basi mjue sisi ni jukumu lenu. Ndio uanaume huo hamtaki basi mje tuolewe wote tu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ni kweli kabisa nyie jukumu letu sikatai hili [emoji1] [emoji1] .

Naomba ufute hapo pa kuolewa basi nimepata hadi ukakasi kupasoma.
 
Back
Top Bottom