Huyu mwanaume ananichanganya sana

Huyu mwanaume ananichanganya sana

Me kuna mdada yanii mpaka nafsi ikawa inanisutaa.!! Nlikuwa nampotezeaa mpaka too much lakini wapii hajawahii nipotezea...Msg...calls kilaa saa me sina hata muda naee.. Wadada mkipenda ni shidaa
Ulimwambia ukweli kuwa unampotezea au
 
Ni kweli kabisa nyie jukumu letu sikatai hili [emoji1] [emoji1] .

Naomba ufute hapo pa kuolewa basi nimepata hadi ukakasi kupasoma.
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kuishi bila pesa ya mwanaume inawezekana ndio maana mpaka sasa anamfuga huyo mwanaume kwa pesa yake, itafika mahali watakua na familia mahitaji yanaongezeka, watoto, chakula, ada, kujenga n.k huoni hili zigo lote litakua la bi dada...
Mwanaume wa hivi ni wa kuogopa, mwanamme mdangaji sio wa kukaa nae.
Hivi akisaidiwa na wanaume wenzie majukumu atalaumu???
Kwenye msitari utakubaliana na mimi mwanaume anaishi kwa pesa za mwanamke ila bado mwanamke haamini kama anaweza kuishi bila mchngo wa mwanaume huyohuyo anayemlisha ndiyo maana analalamika achangie.

Mzigo utakuwa wa bidada tena wote.

Ubaya bidada anashida na kusitiriwa na anawaza akiachana n huyu hapati(predictions) kikubwa aamini anaweza kuishi bila mchngo wa huyo jamaa aangalie mbele.
 
Ya kale au ya sasa!

Hakuna mtu asiye n mahitaji? hili kweli walai hakuna asiyekuwa nayo.

Hapo kuhusu mama na dada zangu sijui wamefikaje kwenye uzi.

Labda haujanielewa tu.... Hivi hakuna wanawake wanaoishi kwa kujitegemea na kujitimizia mahitaji yao wenyewe???? Unafikir hawana akili au?

Ukijibu hili swali ndiyo maana ya nilichochangia hapo juu.
kwa nini tujitegemee na mpoooo, kama hampo tunaweza ila kama mpo pls mjiongeze
loooh uanaume nao kazi eti ndo maana mliambiwa mtakula kwa jasho

teh teh
 
Back
Top Bottom