Huyu mwanaume ananichanganya sana

Na wewe mama alipokuwa aniachia nikulee akienda shambani...nikawa naona kuliko ulalie nyasi basi unilalie nilianza kukupenda toka mdogo sisy
My kaka kwani mbona maelezo mareeeefu wakati jibu lilikuwa rahisi tu!!!

Mi nawewe najua tunapendana tangu kitambo sana.
 
Huyo dada hajiamini, miaka 30 kitu gani mtu ujikatie tamaa hivyo mpaka umlee mtu mzima mwenzio lakini?. Anajihisi tayari ana hitilfu sababu ana mtoto na umri umeenda na huyo kaka nae wala hana mpango nae ndo maana anamfanyia hivyo.
Mie na 40+ yangu na sijajichoka, yeye binti kabisa anajikataa mapema hivyo!!!
 
My kaka kwani mbona maelezo mareeeefu wakati jibu lilikuwa rahisi tu!!!

Mi nawewe najua tunapendana tangu kitambo sana.
Usingeliweza kulielewa kiurhisi...
Assume ningeandika tu ndiyo= na wewe.
 
So what makes him a man then? Kama mahitaji hatoi? Anajua kupiga paipu tu! Being a man is not easy! Nimegundua "Free Pumbu mpo wengi".
Haa ha ha ha...Yanii kama manzi unampaa vizuri jua ni mwanzoni tuu maana Wanawake huwa hawahitaji sana Ngonoo.. so kuna kipindi inabidi usimame kama Mwanaume kwenye mahitaji..Hapo ndo wengi huwa tunafail...
 
Gold digger wa kiume huyo!
Hakuna uwezekano wa kurudiana na baba wa mtoto wako?huyu mchumba wa sasa umemzidi umri?

Ila kwa upande mwingine nakushauri kama unaweza uwe unamuomba ukihitaji..kuna watu ambao hawawezi kujiongeza,hawatoi bila kuombwa

Ndio maana wanaulizwa :Utatoa,Hutoi
 
Huyo dada hajiamini, miaka 30 kitu gani mtu ujikatie tamaa hivyo mpaka umlee mtu mzima mwenzio lakini?. Anajihisi tayari ana hitilfu sababu ana mtoto na umri umeenda na huyo kaka nae wala hana mpango nae ndo maana anamfanyia hivyo.
Halafu hiyo tabia ya kutetemekea ndoa hutufanya tuonekane wajinga kweeli, na wanaume hutumia sababu hiyo kukula wanawake. Aache kabisa huo upuuzi amlee mwanae, mwanaume wa kuoa sio huyoo
 
Sa c una lak 4 kama faida kila mwez ..unataka nn sa.. wanawake bwan... ... hamna tofaut na allien viumbe wa ajabu sana
 
Naonaa wadada mmecharukaa..!! Full kutukandiaa... daah sio wotee jamanii.. Sema.na nyie siku moja moja muwe mnatupooza.
 
Back
Top Bottom