Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,056
- 9,700
Duh
Katika ubora wako my honeyUmeoa huyo, acha kumuendekeza piga chini labda km hutongozeki mvumilie ivo vidume sijawahi kuviona walahi au huwa mnatupa chai tu humu!!!
Dabby hamaanishi hivyo sawa, na labda nikuulize wewe unawezafanya hivyo? Unalala nae kila cku, unakula kwake kila kitu chake ivi hata utu tu haukuingii? Sio vizuri banaSwali la utangulizi:
Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?
Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Huyu Dada ana akili za kishostito yaani kuambiwa .Swali la utangulizi:
Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?
Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Usikubali kuolewa na mtu kama huyo maana ukiolewa naye tuu chaguo kutoka kwa mungu litakuja maana hilo litakuwa linajiongeza sibiri hilo chaguo.Huyu mwanaume kanichosha kabisa Sijui tu nifanyeje nimpenzi tumeahidiana kuoana anavyodai by DEC tuanze process za kutambulishana nyumbani japo ndugu zake au wazazi wake naongea nao kwenye cm so wanafahami mtoto wao anamchumba japo hawajaniona
Kinachonikela kwa mchumba wangu huyu hana akili ya kujiongeza mimi ninaduka lina mtaji kama mil 2 au 1.5 hivi so kwa mwezi naweza pata faida kama ya lak 4 .mwenzangu anafanya kaz katika kampun flan anamshahara mzuri tu kuanzia million hivi.
Tatizo la mtu wangu hajui mwanamke anahitaji hiki wala hiki mimi sina tabia ya kumuomba hela hua nampa Uhuru tu anipe yeye atakayoona kama mwanamke naitaji matumiz gani.
Ajabu hawez jiongeza kabisa anaweza akaja kwangu akala akalala akaondoka asubuh haachi hata hela ya matumiz au akaja akashinda akala akalala akaondoka bila hata kujali chochote.
Yaan nakuta najigharamia kilakitu kuanzia,, kodi, bills zote, mafuta ya kupaka,,saloon,, nguo kula yaan kila kitu Kuna kipindi nilijaribu kuongea nae akasema OK sory akawa akija kulala asubuh anacha elf 5 ya matumiz ilienda kama siku 3 hv akaacha napata uchungu Mimi ninamtoto nilizaa na mwanaume mwingine hua anatoa hela ya matumizi ya mtoto...unakuta mzazi mwenzangu akinitumia hela nanunua vyakula naweka ndani tunatumia na huyu mchumba wangu moyo wangu unauma nashindwa niamue nini naogopa kumpoteza maana umri umeenda Nina 30yrs.
Napata uchungu kuona nahangaika kutafuta maisha nakaa Dukan kuanzia asubuh mpaka SAA NNE sina msaada wowote yeye akija niku sex tu asubuh akaondoka na anaweza akafululiza hata siku 4 kila siku anakuja kulala na anisaidii chochote.
Sasa Jana kaniombia anashida nimtafutie elf 40 mshahara ukitoka atanirudishia nimemwambia sina akadai tafuta tunza kila siku elf 10 katika biashara yako jpil unipe mshahara ukitoka nitakurudishia bado nawaza hata hanionei huruma???
Naomben ushauri ndugu zangu
Mmmmh!!!!!haikuandikwa hivyo katika KITABU chochote!!!I we Qur'an au Biblia,mwanaume inampasa kumtunza mwanamke,!!!!japo siku hizi ni huo utandawazi,basi walau kushare wote,Swali la utangulizi:
Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?
Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Inahitaji moyo kwa kweli,lkn huyo. Mmmh!!!!!jiongeze hapo anataka hata hizo elfu 5000alizotoa zirudi,binafsi hapana kwa kweli utaugua moyo kwa kumfikiria huyo Mume mwema anatoka kwa MunguHuyu mwanaume kanichosha kabisa Sijui tu nifanyeje nimpenzi tumeahidiana kuoana anavyodai by DEC tuanze process za kutambulishana nyumbani japo ndugu zake au wazazi wake naongea nao kwenye cm so wanafahami mtoto wao anamchumba japo hawajaniona
Kinachonikela kwa mchumba wangu huyu hana akili ya kujiongeza mimi ninaduka lina mtaji kama mil 2 au 1.5 hivi so kwa mwezi naweza pata faida kama ya lak 4 .mwenzangu anafanya kaz katika kampun flan anamshahara mzuri tu kuanzia million hivi.
Tatizo la mtu wangu hajui mwanamke anahitaji hiki wala hiki mimi sina tabia ya kumuomba hela hua nampa Uhuru tu anipe yeye atakayoona kama mwanamke naitaji matumiz gani.
Ajabu hawez jiongeza kabisa anaweza akaja kwangu akala akalala akaondoka asubuh haachi hata hela ya matumiz au akaja akashinda akala akalala akaondoka bila hata kujali chochote.
Yaan nakuta najigharamia kilakitu kuanzia,, kodi, bills zote, mafuta ya kupaka,,saloon,, nguo kula yaan kila kitu Kuna kipindi nilijaribu kuongea nae akasema OK sory akawa akija kulala asubuh anacha elf 5 ya matumiz ilienda kama siku 3 hv akaacha napata uchungu Mimi ninamtoto nilizaa na mwanaume mwingine hua anatoa hela ya matumizi ya mtoto...unakuta mzazi mwenzangu akinitumia hela nanunua vyakula naweka ndani tunatumia na huyu mchumba wangu moyo wangu unauma nashindwa niamue nini naogopa kumpoteza maana umri umeenda Nina 30yrs.
Napata uchungu kuona nahangaika kutafuta maisha nakaa Dukan kuanzia asubuh mpaka SAA NNE sina msaada wowote yeye akija niku sex tu asubuh akaondoka na anaweza akafululiza hata siku 4 kila siku anakuja kulala na anisaidii chochote.
Sasa Jana kaniombia anashida nimtafutie elf 40 mshahara ukitoka atanirudishia nimemwambia sina akadai tafuta tunza kila siku elf 10 katika biashara yako jpil unipe mshahara ukitoka nitakurudishia bado nawaza hata hanionei huruma???
Naomben ushauri ndugu zangu
Wewe ujawai penda ndo maana unaona kila kitu rahisi,Umeoa huyo, acha kumuendekeza piga chini labda km hutongozeki mvumilie ivo vidume sijawahi kuviona walahi au huwa mnatupa chai tu humu!!!
Sio kweliWewe ujawai penda ndo maana unaona kila kitu rahisi,
Haujambo?Sio kweli
Sijambo shikamoo huby, kunaxsehemu nimeona unaaga? Unataka uniachie ujane au?Haujambo?
Mimi ukiniuliza nitakujibu siwezi kufanya hivyo. Na siwezi kuwa na mwanamke anayenihitaji saana zaidi ya ninavyomhitaji mimi.Dabby hamaanishi hivyo sawa, na labda nikuulize wewe unawezafanya hivyo? Unalala nae kila cku, unakula kwake kila kitu chake ivi hata utu tu haukuingii? Sio vizuri bana