walaSku akikunyima unyumba si ndiyo utazimia kabisa!
true sayPole weee, caring nayo ni kipaji hukutakiwa hata kumwomba,mwanaume anayejali angekupa bila kuombwa.....
hapanaSasa hiko ndio cha kuumia mpaka kumfungulia uzi angekunyima kikubwa zaidi si ungemuacha
ndioNa wewe nae una roho ngumu yaani upuuzi wenu kuombana masweta unaleta hapa
inawezekana eh dahDaaah!!! Vipi lakini unyumba huwa anakupa bila tatizo??
NB: huyo mwanume hana hisia kabisa na wewe ila amejiweka kwako kwa ajili ya hiyo baridi uliyotuambia..Angalia usawa mwingine
kweli hata siku nikiwa mwezini anamaind kweliAlitegemea ungemuomba akukumbatie au ungemuomba mkabanduane, maana si kwa kibaridi cha miezi hii, Kama kichwani alikuwa akiwaza mawazo kama hayo aisee sweta usingepewa sababu mwenzio alikuwa akitumia balls na sio brains kwa Muda huo, Sasa mtu wa hivyo mjaribu kumwambia mkapime Ngoma ndo Hutomuona kabisa....Pole siku ingine mjaribu kumwambia una hamu uone...atakuwa mchangamfu na hutokuja kushtaki humu.
Sawa mama karibu.Nimekua guest wa JF kwa muda mrefu mpaka yaliponikuta nikaamua kujoin chama la wana rasmi.
Kuna vitu ambavyo vinatokea katika mahusiano yangu vinanikwaza,vipo vingi ila wiki ilopita ndo nliumia zaidi.
Tulitoka dukani(my boyfriend and I) sa njiani nkaanza kuskia baridi sana,nkamwomba sweta lake alokua amevaa mana ye at least alivaa nguo nzito ndani ila alininyima.Nliumia nkajiuliza ina mana hawezi kusacrifice for me kwa distance fup ilobaki kutoka dukani hadi home? akati ingekua mm ningempa bila kusita.
nina asthma nipo natumia kile kidudeHukupata pneumonia?!
j3Wewe ni mjinga kumbe,,,hivi shule mtafunguwa lini
asanteSawa mama karibu.
Pole weee, caring nayo ni kipaji hukutakiwa hata kumwomba,mwanaume anayejali angekupa bila kuombwa.....
Nitafanyaje sasa inabidi nikukaribishe tu.ndo nshakua memba sa