Huyu mwanamke sina hisia nae kabisaa japo ananipenda sana

Pole,naweza kuhisi unapopitia. Nilishawahi kuwa na mzungu,sasa yuko kwa mghana. Alinipenda mno,hisia zilipotea kwangu. Tamaduni zetu ni tofauti sana,hakupi muda wa kuwa na marafiki zako,ndugu zako hawana nafasi,outings kila mtu kivyake. Ukiona mabinti wa kiafrika walivyo wazuri,miili inayotingishika,hahahaa acha tu. Mwisho nilimwambia tuachane kwa muda kama 6m,baada ya 3m akaingia kwa mghana,alinijulisha,nikamtakia heri.
 
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.

Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.

Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.

Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.

Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili
Ama kweli mwenye bahati haijui bahati!
 
Asante sana kwa ushauri wenu wakuu, nimejaribu kumpeleka gym tangu mwanzoni mwa mwezi sasa,mambo yako powaa,kapungua kilo nne hadi sasa. Ni mafanikio makubwa sana.

Mwanzoni nilimtamani,ila sasa nimeanza kumpenda sanaaaa, kwa sababu kapata umbo la kiafrika, tumbo limepungua n.a. kiuno kinaonekana kama chote, huko nyuma ndo hatarii, nimemwambia aanze kuvaa vipenseli, ila kuwaonyesha mahaters.

Akipungua kilo 10 ntawatumia picha.

Asanteni sana na samahani sana kwa kuleta mada hii jukwaa la siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa ahaaaa.nimecheka kwa herufi kubwa.
Malipo ni hapa hapa duniani mnatutelekeza afrika Siku zinapita tukiwasubiri, Mara kwa mbwembwe tunasikia mmekuja na mzungu, tunasononeka kwa kupoteza muda tumewasubiri, kisa tu wawaone na nyie MNA wazungu kumbe mnateseka hivyo?
Hivi Mungu upo na unalipa??

Oh sorry nilikuwa naota samahani haiwezi nitokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom