Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,206
- 88,014
Mungu amejibu maombi yako. Niko hapa mkuuMimi nina mwaka wa 4 huu nawatafuta mabonge na sijafanikiwa kupata
Mungu amejibu maombi yako. Niko hapa mkuuMimi nina mwaka wa 4 huu nawatafuta mabonge na sijafanikiwa kupata
Jitahidi kuiokoa isife, kibudu kama hautojali unaweza kunipa sababu moja kwanini unafiria inaelekea kufa kibudu.inaelekea huko..lol
Daaah siamini nimejawa na furaha san, kama wewe ni kibonge ngoja nichangamkie fursaMungu amejibu maombi yako. Niko hapa mkuu
HakikaDaaah siamini nimejawa na furaha san, kama wewe ni kibonge ngoja nichangamkie fursa
Kweli Mungu hamtupi mja wake.
Jitahidi kuiokoa isife, kibudu kama hautojali unaweza kunipa sababu moja kwanini unafiria inaelekea kufa kibudu.
HahaaSasa ulimtongoza wa nini? Au njaa? Mpe sumu upate kimodo, fala ww
siko ndoani mkuu,nilikua natania tuu,...
Ama kweli mwenye bahati haijui bahati!Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.
Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.
Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.
Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.
Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili