Huyu mwanamke sina hisia nae kabisaa japo ananipenda sana

kama amekulia kwao,wazungu wengi wanapenda honesty and and transparency...mwambie tu muachane atakuelewa,lakini kama ni bonge si ulimkuta hivyo hivyo..??? ...vumilia tu usidhanie ndoa ni mteremko ndugu,wengi ni paa tu ndio linawafichia siri...ila ndoa zimeshakufa kibudu siku nyiingi
 
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.

Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.

Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.

Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.

Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili
Ushajizoelea wanawake wa buguruni kwa mnyamani huyo ulikosea njia , vijana wengi masikini wa kiafrica mnadhani mahusiano ni ngono tu ! pumbavu sana ! mtu kajitoa hadi kukupa hela ukatoa tongotongo leo mawazo yako yote yako kwa Mwajuma ndala ndefu demu wa vigodoro !
 
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.

Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.

Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.

Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.

Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili
Itakuwa umepungukiwa nguvu za kiume tu!
 
Duh Kwan umemwambia afanye mazoezi hupendi mabonge amekataaa
 
Utashambuliwa mkuu...

Ila ingekuwa umekosa hisia kwa kinadada weusi[wa bongo] angelaumiwa hajui mambo.

Historia ya humu inasema wanawake/wanaume walioleta mada za kuoa au kuolewa na wazungu walishambuliwa vikali.
 
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.

Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.

Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.

Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.

Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili
Uzinzi unaita tendo takatifu la ndoa.

Ulimtongezaje kwani ?
 
kama amekulia kwao,wazungu wengi wanapenda honesty and and transparency...mwambie tu muachane atakuelewa,lakini kama ni bonge si ulimkuta hivyo hivyo..??? ...vumilia tu usidhanie ndoa ni mteremko ndugu,wengi ni paa tu ndio linawafichia siri...ila ndoa zimeshakufa kibudu siku nyiingi
I hope ya kwako, kama ipo lakini
Itakuwa haijakufa kibudu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom