Huyu mwanamke kanitapeli

Mkuu umetapiliwa kikubwa.....kikubwa tambua kuwa umebet hizo hela
 
Nauli nimetuma tshs. 22,000/=

Vocha hizi zinafika tshs. 13,000/=

Hela za chipsi nimetuma mara nne tshs. 20,000/=

Je ndogo hizo???
Yaan uliji race ivyo? yaani umeamua kumpa mtaji mwenzio huo ni mtaji tosha
 
Jina lako ni jibu tosha mkuu
 
Bado mdogo Sana. Hakua na mapenz kwako
 
Kama ni kweli Huyo mwanamke hajielewi.
Unaachaje kuendelea kumchuna mtu anayetuma hela kwa kuridhika na hela ya nauli??

Kwani angekupa k akaendelea kukulia hela kingeisha?
 
Ulijilegeza sana.
 
Kama ni kweli Huyo mwanamke hajielewi.
Unaachaje kuendelea kumchuna mtu anayetuma hela kwa kuridhika na hela ya nauli??

Kwani angekupa k akaendelea kukulia hela kingeisha?
Hajielewi kabisaa mkuu, na alijua kunilegeza maana kila akiomba natuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…