Huyu mwanamke kanitapeli

Usipende wanawake wapita njia iko siku utalipiga mkono jini utaona mauza mauza yake lakini pole kwa hilo lililokupata
 
Nyagei:
ID sio tatizo mkuu, tatizo ni kumuamini sana.

Unajua biashara zetu za pesa mitandaoni muda mwingi tuko kazini.

Sasa kutoka inakuwa ngumu that's why nikaona nimvute yeye aje mpaka ofisini then nimpeleke Old Trafford
Na hilo ndio kosa kubwa ulilolifanya yeye aende OT wakati wewe bado upo Carrington wapi na wapi

Kikubwa tu kubali umeshaliwa hakuna namna kulia lia hakutokusaidia chochote, assume umetoa fungu la kumi endelea Kupiga kazi uzifidie ulizochezea kwa manzi kwa kigezo cha huruma
 
Bora umeniunga mkono....ila wanaume Mungu anatuona.

Hapa kuna baadhi wataniona bwege ila wengi wetu tumetapeliwa sana.

Ukweli ndo huo
Na ubwege wako umekuja baada ya kuongea laiti na wewe ungeamua kimya wala usingekuwa bwege
 
Shida yako una haraka sana, mtu kaenda kuoga wewe unachachawa, ulitaka apokee simu chooni? Alafu hujasema nauli ulimpa bei gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…