Huyu mwanamke atanitoa roho

15 year's back, niliwai kumwambia yule mwali kwamba "unaniumiza"....... Na mwisho kabisa baada ya kunisikiliza, akaniukiza "unaumia wapi"?? Ebu nionueshe panapo kuuma kwaajiliyangu...!!
Aiseeee, nilijiona bonge la fwala miakaile..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aiseeee, nilijiona bonge la fwala miakaile..[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila watu wakijua wanapendwa wanatesa wenzao jamani
 
Ukweli ni kwamba nimwkufa nimeoza na ubaya zaidi siwezi ficha wingi wa mapenzi niliyonayo. Nampenda sana, nimeahindwa kujibanabana moyoni ili nisionyeshe kua nampenda
Basi subiri kuona kila rangi na kupoteza mwelekeo wa maisha
 
Hahahahaha chezeya kupenda weye lol! Ila ukifanya maamuzi ya Kiume kama alikupenda kweli atarudi tu lakini ME wengine wakishafunga mlango hawafungui. Watakusikiliza mwisho wa siku wanakwambia KWAHERI Mrembo thanks πŸ™πŸ½ for everything.
15 year's back, niliwai kumwambia yule mwali kwamba "unaniumiza"....... Na mwisho kabisa baada ya kunisikiliza, akaniukiza "unaumia wapi"?? Ebu nionueshe panapo kuuma kwaajiliyangu...!!
Aiseeee, nilijiona bonge la fwala miakaile..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
LOVE IS THE DEATH OF DUTY.
Game of thrones.
 
Hahahahaha chezeya kupenda weye lol! Ila ukifanya maamuzi ya Kiume kama alikupenda kweli atarudi tu lakini ME wengine wakishafunga mlango hawafungui. Watakusikiliza mwisho wa siku wanakwambia KWAHERI Mrembo thanks πŸ™πŸ½ for everything.
Mkuu, yule mwali alisababisha nikawa mlevi hadi nikafukuzwa kazi imagine...
Sasa nilikutana nae mwaka jana eneo flani nami kidogo mambo hayakua mabaya sana, binti kachoka kachakaa.... Aliponisemesha nilimwambi "excuse me mother", nikamwambia amenifananisha na yule ni pacha wangu...🀣🀣🀣
 
Muache mkuu

Utasahau, ni suala la muda tu
Loyalty is killing me. Napenda nipende mtu mmoja tu nimpende sanaaaa ndio nilimpata huyu sasa siwezi kujifanyisha kua simpendi
 
Mbingu utaisikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…