Huyu mwanamke atanitoa roho

Huyu mwanamke atanitoa roho

Namora

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
410
Reaction score
1,015
Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.

Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.

Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.

Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu. Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my achievement I won't give up on you
 


I can feel your pain lakini amini hata ulie na usage meno uanvyozidi kumlilia ndivyo anakuona umekufa na umeoza na we boya tu. Wanawake hawapendi wanaume soft soft, hapo ukute anayempenda anampeleka kijeshi jeshi. Wakati wewe unalia huku jamaa anampgia simu nikitema mate chini kabla hayajakauka uwe hapa
 


I can feel your pain lakini amini hata ulie na usage meno uanvyozidi kumlilia ndivyo anakuona umekufa na umeoza na we boya tu. Wanawake hawapendi wanaume soft soft, hapo ukute anayempenda anampeleka kijeshi jeshi. Wakati wewe unalia huku jamaa anampgia simu nikitema mate chini kabla hayajakauka uwe hapa

Ukweli ni kwamba nimwkufa nimeoza na ubaya zaidi siwezi ficha wingi wa mapenzi niliyonayo. Nampenda sana, nimeahindwa kujibanabana moyoni ili nisionyeshe kua nampenda..
 
Back
Top Bottom