Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

Pacifik

Member
Mar 11, 2024
20
25
Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma).

Mwanaume akaondoka kachukua mke wa watu kijiji jirani wakaenda Katavi. Hakuwasiliana na familia yake muda wote akiwa Katavi.

Mwanamke aliishi kwa Vibarua vya Shambani na wanae... akajikaza akalima akapata, akaendelea kusomesha wanaye.

Baada ya miaka 5 mume amerudi anaomba asamehewe waendelee na maisha!

Wakuu nini cha kufanya kwa huyu mwanamke?
 
𝐇𝐮𝐲𝐨 𝐧𝐢 𝐦𝐮𝐦𝐞𝐰𝐞 𝐚𝐮 𝐛𝐨𝐲𝐟𝐫𝐢𝐞𝐧𝐝 𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚.....???

𝐊𝐮𝐢𝐭𝐰𝐚 𝐦𝐮𝐦𝐞 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐬𝐢𝐨 𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐝𝐨𝐠𝐨 𝐮𝐣𝐮𝐞.
 
Yeye mwanamke ndio mwamuzi wa mwisho huwez jua alikuwa anakunwaje au ulijimilikisha Jimbo baada ya jamaa kuondoka?
 
We
Yan mtoto wa mwisho ana miezi tisa halafu baba wa huyo mtoto aliondoka miaka mitano iliyopita kwa hiyo hiyo mimba ilitumwa kwenye what's app?🤣
 
Amerudi na mke wa mtu ama amerudi peke yake? Na mke wa mtu yupo wapi kwa sasa?
Malizis basi uzi tuweze kutoa ushauri vizuri
 
We

Yan mtoto wa mwisho ana miezi tisa halafu baba wa huyo mtoto aliondoka miaka mitano iliyopita kwa hiyo hiyo mimba ilitumwa kwenye what's app?🤣
Hujanielewa.
Maanisha hivi: mtoto alizaliwa miezi 9 baadae baba kaondoka.
 
msamaha ni muhimu,ila aende nae kwa viongozi wa dini,mwanaume atubu na aombe radhi na amsamehe,wakapime ukimwi,akiwa hana asubiri baada ya miezi 3 ampime tena,basi akiwa hana warudiane
 
wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3)

Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…