Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,467
- 7,259
Mkuu wanaisaidiaje? siyo polisi huyo
Umesahau shimbo na matamko yake? Huko Mtwara?
Mkuu wanaisaidiaje? siyo polisi huyo
Coplo aaaah wapi hizo ni dili za yule katibu mkuu msomali jamaa mbona hasikii tu au pia ni dili za chama chake??? maana siku hizi EPA haipo.umesema kinara au kinana?
😱!! mwenyewe katuliiaaa... kama hana kesi vile
Sasa wewe unatafuta kung'olewa meno na kucha bila ganzi, watu wametulia Chimwaga/Mtaa wa Lumumba wanaeneza sera na propaganda wewe unataka wakakamatwe, kwani wao ndio walioshikwa na hayo meno. HahahahahahaaaaaaaAliyemtuma meno yupo wapi?soko lao lipo wapi ?ahojiwe vizuri angalau awataje wote walioshiriki kuangamiza mimia ya Tembo
Umesahau shimbo na matamko yake? Huko Mtwara?
Shimbo ni mwanasiasa! si unajua sasa ni balozi China? coplo ni mtu mdogo sana, hivi vyombo kadili unavyopanda juu unaanza kuwa mwanasiasa automatic mkuu!
Kama ndivyo hivyo wa koplo atakataa vipi amri ya kubwa mwanasiasa?
JWTZ Sio wababaishaji kihivyo! acha kubahatisha
Shimbo ni mwanasiasa! si unajua sasa ni balozi China? coplo ni mtu mdogo sana, hivi vyombo kadili unavyopanda juu unaanza kuwa mwanasiasa automatic mkuu!
![]()
mwanajeshi aliekukutwa na jino la tembo akiwa chini ya ulinzi pamoja na kidhibiti chake.
Habari inasema ni afsa wakati jamaa ni koplo. Jamani kama hamjui kuvitofautisha vyeo vya jeshi bora mseme mwanajeshi. Huyo ni askari mwenye cheo cha koplo na sio afsa wa jeshi. Afsa wanaanzia cheo cha Luteni usu/ nyota moja na kupanda hadi jenerali.
kubahatisha nini? au lugha inakupiga chenga
Kama ndivyo hivyo wa koplo atakataa vipi amri ya kubwa mwanasiasa?