Ni Koprol? Mkubwa kimwili kama TEMBOO LOL
![]()
mwanajeshi aliekukutwa na jino la tembo akiwa chini ya ulinzi pamoja na kidhibiti chake.
umesema kinara au kinana?
Kinana ndiye Kinara....
Kinara - r + n = KinanaMkuu hapo kwenye red color naona kama n vile...
Jamaa inaonekana akiua tembo nyama anakula; maana AMENONAAA:tongue:
cha ajbu JWTZ wanaweza kusema huyo hawamtambui kama mwanajeshi wao.
Sasa jamaa hata wasiwas hana,wakubwa wanafanya mambo kesi ifutwe.....teh teh....na akiambiwa awataje maboss wake utashangaa...utasikia majina kama.N.../brabra maige/...R...KITWE.maana kesi ya kuku tu mtu hupati usingizi hata kama kidhibit hakuna
Hawa ndio askari wetu!!!!
Ndio maana wanaisaidia CCM kwanguvu zote!...