Huyu mwanajeshi ananichanganya


loyda una miaka mingapi, nadhani haujavuka 23!!!! Mawazo yangu ni haya....... wewe ni limbukeni usiye na msimamo haufai kuwa mke, .................mvulie kufuri uone kama taendelea kukujali,..........haufai kuwa mke na ni bora itokee huyo mchumba wako akupige chini,......

All in all mwamuzi ni wewe, ikiwa maisha kwako wewe ni kujaliwa tu, basi poa, mjeshi wa kizenji anakufaa, atakujali hadi kukubonyeza kizenji.

Naona giza mbele na hizi mambo
 
Last edited by a moderator:
Sisi wanaume tunapoifukuzia papuchi......hata ukininasa kibao nachekelea tu....tena nakuambia baby ongeza vibao vyako vitamu.........
 
Usidharau Mia MBOVU kwa ajili ya HAMSINI iliyo nzima. Plse take care!
 
Akili za wanawake wengine ni tabu tubu... Mzenji? Ngoja uliwe kibogga...
 
Ndio walivyo......wenzetu wameathiriwa na mifumo...ya makambini...ambapo ni mwendo wa amri tu......

mkuu hakuna watu wanaoonewa na wake zao kama maaskri.
Kuna wengne wananaswa vibao na wake zao lakn ukiwakuta kzn bonge la makamanda
 
Mwanamke ni zaidi ya umjuavyo unataka kumuacha mpenzi wako kisa mzanz bar
 

Na hili nalo unataka tukushauri dada yangu mpendwa?mbona unatupa kazi sana wakati kuna mambo ya msingi kujadili ili tupate nchi yenye maridhiano na sio kulazimishana.
Kwa hili huoni kuwa kuna siku utataka tukushauri ni nguo ya ndani aina gani au rangi gani uvae ili utoke kwenda kwa huyo mwanajeshi wako?
Maamuzi mengine hayahitaji ushauri.
 

mwaka huu watu watanyolewa sana
 

mpe amege kwanza afu utajua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…