hagau
JF-Expert Member
- Dec 17, 2023
- 1,590
- 5,239
Duuh aisee
Ww mi kaongo ongo ka JF, taje care JF imeumbua wengi sana humu
Duuh aisee
Kwani ushafika floor ya tatu...
Acha uongo hata kwa huyo jamaa yako wa nje tatizo ni wewe,eti unasingizia mambo ya kimungu-mambo ya kimungu ndio yapi ulishindwa kubadili dini hadi mnapanga kuoana hayo mambo ya kimungu hamkuyaweka sawa??.
Wewe unaweza date na mwanaume ambaye huna hisia nayeTena hapo nimempunguzia idadi, ila kikokotoo kinasema wa 101 ndo muoaji rasmi 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 hapo nimekupunguzia ila hesabu inasema wa 100 na….!!! Ndio atakuoawe dada muogope Mungu 50 wote hao
Si wajanja tunacheza draw match 🤣🤣🤣Wewe unaweza date na mwanaume ambaye huna hisia naye
Hujajibu swalSi wajanja tunacheza draw match 🤣🤣🤣
Nani huyo wa kumzalia tenah???Hujajibu swal
Unaweza kuwa kwenye mahusiano naye na kumzalia mtoto
Mwanaume ambaye huna hisia nayeNani huyo wa kumzalia tenah???
Mayai yenyewe nimelia chips sasa nazaa vitu gani tena jamani 😜Mwanaume ambaye huna hisia naye
Kama umelia chips usimlaumu mleta uziMayai yenyewe nimelia chips sasa nazaa vitu gani tena jamani 😜
Olewa binti wacha umalaya.Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni
Kwa kipindi hicho sikuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo mwanaume wa nnje ya nchi…. Kama unavojua mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja sumaku huvutana
Kwa kipindi hiko sikuwa nampenda yoyote kati yao maana sikuzingatia… ukaribu na chris tukajikuta nimempa tunda, hilo jambo nilijutia sana kwasababu sikuwa nikimpenda halafu jamaa sijui ndio akazama kwangu, akaanza kuwa msumbufu mpk kukeraa,, nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 ( alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu)
Baada ya miezi 2 nikamwambia mimba imetoka jamaa alilaumu sana akisema nimetoa ila mimi nilikazana imetoka basi bhn nia ilikuwa ni kumuacha ili nibaki na mwanaume wangu wa siku zote maana alionesha malengo japo hatukuwai kuonana… nilifanikiwa kumuacha yule kaka( chris) japo alikuwa king’ang’anizi
Mpnz wangu wa nnje alirudi tukaonana na mipango ikaendelea na alikuwa akinipenda sana but kama mnavojua mipango si matumizi yule kaka sipo nae tena( siwezi kuelezea kilichotokea maana nitafungua code ila hatuna mahusiano kabisa kabisa) ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu
Kwa sasa nimerudi kwa chris japo mguu pande kwasababu sijamuamini kiivo… kuna jambo alimwambia rafiki yake kwamba mimi alinifumania jambo ambalo sio kweli na nimeshangaa ni kwanini amemwambia rafiki ake hivyo kwamba alinipigia simu usiku akasikia sauti ya mwanaume anauliza naongea na nani( jamaani wananchi ilo jambo ametunga si kweli)
Sasa nimewaza huyu jamaa sio kwamba karudi kulipa kisasi kwangu nilivyomuacha
Mimi nilimuacha kwasababu ana akili za kitoto mfano akipiga simu upokee hapo hapo kama hupokei atapiga hata mara 20 mpk nikawa naogopa ukipikea sasa zinaanza lawama hii hali ya kulaumiwa kila siku nikaichoka yaani tuna miezi 2 ila kama miaka ndio ikapelekea nimuache
Kilichonirudisha kwake ni kwakuwa sina mtu ninaemuelewa kwa sasa then nimeona kama yeye ananipenda japo mimi still nasuasua
Ila sasa hivi amekuwa bahili hata vocha ni kusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto
Wakuu ushauri kuhusu huyu mtu nifanyaje
Namlaumu au nampa ushauri?? Kwan we umeumia wapi?? We ndo mleta uzi??Kama umelia chips usimlaumu mleta uzi
😂😂😂😂Motivation speaker hao tumewazoea mbona, Hakuna jipya 🤣🤣🤣🤣
Siku nyingine unimention kwenye vitu vya maana sawa?? 😜
Na ikupalie vizuri unaniitaje kusoma comment ya motivation speaker 🤣🤣🤣😂😂😂😂
We mjinga sana Unataka kuniua nimechoka mpaka nimepaliwa na Soda.
Nimekuuliza swali kutokana na post yako maswala ya kuumia yanatoka wapiNamlaumu au nampa ushauri?? Kwan we umeumia wapi?? We ndo mleta uzi??
Achq ngonjera siziso na maana..kama alikupenda kwa Nini hajakuoa?huyu alikuwa anasuuza rungu tu kama walivyo wanaume wengineTulionana Halafu huwezi amini huyo ndio mwanaume ambae alinipenda kuliko wote yaani mno yule kaka Kama ingekuwa ni uwezo wangu ningemrudisha,,, mkuu inauma Sanaa mno hii hali inanifanya niwe mnyonge sana ila amini kwamba tulidumu 3 years na tulionana Sanaa