Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,917
- 2,540
Ushaanza kufungua code.ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu
Ushaanza kufungua code.ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu
Nimekoma 😁😁😁Na ikupalie vizuri unaniitaje kusoma comment ya motivation speaker 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 kumbe huo ushauri ndio umekuchoma?? Sasa kwann unaulizwa swali kwa id nyingine na majibu unakuja kujibu kwa id nyingine?? Mnatuchanganya watoa ushauri 😂Nimekuuliza swali kutokana na post yako maswala ya kuumia yanatoka wapi
Yaani umwambie atadate na wanaume 50 alafu wa 51 na kuna sehemu ukasema wanaume 100 ila wa 101 ndo atamuoa huu si ushauri hata siku moja
Usirudie tena 🤣🤣🤣Nimekoma 😁😁😁
Na Wewe ni Mama ushauri au Mshereheshaji?🤣🤣🤣🤣 kumbe huo ushauri ndio umekuchoma?? Sasa kwann unaulizwa swali kwa id nyingine na majibu unakuja kujibu kwa id nyingine?? Mnatuchanganya watoa ushauri 😂
Mara hutotaja sababu muda kidogo unatiririkatu. Vipi unaweza kufa na jambo moyoni kweli?Hivi ndoa ya serikali nikitaka kufunga inaweza kuwa ya siri yaani nijue mimi na mtu wangu bila mashahidi wenginee… maana kwa kazi yake kwasasa bado muda
Unaakili ndogo sana🤣🤣🤣🤣 kumbe huo ushauri ndio umekuchoma?? Sasa kwann unaulizwa swali kwa id nyingine na majibu unakuja kujibu kwa id nyingine?? Mnatuchanganya watoa ushauri 😂
Huyo ni mshereheshaji ambaye ana akili ndogo sanaNa Wewe ni Mama ushauri au Mshereheshaji?
Kote nafit unajibiwa km ulivyokuja yani 🤣Na Wewe ni Mama ushauri au Mshereheshaji?
Acha kutusumbua kuja na id mbilimbili, we km vipi kuwa nao wote hao wanaume!!!Unaakili ndogo sana
Alafu jambo usilopenda wewe kulifanya usipende wengine wafanye
Nimekuuliza uko tayari kumzalia mwanaume ambaye huna hisia naye umekataa mda huo huo unamtuhumu mleta uzi una akili ndogo sana
Bado hujasema 😝😝Huyo ni mshereheshaji ambaye ana akili ndogo sana
Usipende kujifariji huo uzi sio wanguAcha kutusumbua kuja na id mbilimbili, we km vipi kuwa nao wote hao wanaume!!!
Hapa tumia akili zako vizurikusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto![]()
Akili yako inawaza wanaume tu?? Haya wachukue wa dunia nzima uishi nao ww mwenye akili nyingi za kuvukia bahari 🤣🤣🤣Usipende kujifariji huo uzi sio wangu
Unaakili fupi sana aisee huyo mwanaume wako kazi anayo
Unaakili tu za kuvukia barabara
Mimi ni mwanaume binti jaribu kufuatilia thread zanguAkili yako inawaza wanaume tu?? Haya wachukue wa dunia nzima uishi nao ww mwenye akili nyingi za kuvukia bahari 🤣🤣🤣
KwenderMimi ni mwanaume binti jaribu kufuatilia thread zangu
Mimi sio kilaza kama wewe
Ntumie namba yako nikuonyeshe picha yangu whatsApp ili ujue ni mwanaumeKwender
Sina namba wala whatsapp, tuma hapa hapa ili tuweke kumbukumbu JF km ulinionyesha picha yako.!Ntumie namba yako nikuonyeshe picha yangu whatsApp ili ujue ni mwanaume
Siwezi tuma hapa sababu wewe ndo unayeitakaSina namba wala whatsapp, tuma hapa hapa ili tuweke kumbukumbu JF km ulinionyesha picha yako.!