Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Mbona hata wewe unaonekana una akili ya kitoto.. and it's seems kwamba unampenda Chris .. ila unakaza fuvu ishi naye
 
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni

Kwa kipindi hicho sikuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo mwanaume wa nnje ya nchi…. Kama unavojua mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja sumaku huvutana

Kwa kipindi hiko sikuwa nampenda yoyote kati yao maana sikuzingatia… ukaribu na chris tukajikuta nimempa tunda, hilo jambo nilijutia sana kwasababu sikuwa nikimpenda halafu jamaa sijui ndio akazama kwangu, akaanza kuwa msumbufu mpk kukeraa,, nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 ( alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu)

Baada ya miezi 2 nikamwambia mimba imetoka jamaa alilaumu sana akisema nimetoa ila mimi nilikazana imetoka basi bhn nia ilikuwa ni kumuacha ili nibaki na mwanaume wangu wa siku zote maana alionesha malengo japo hatukuwai kuonana… nilifanikiwa kumuacha yule kaka( chris) japo alikuwa king’ang’anizi

Mpnz wangu wa nnje alirudi tukaonana na mipango ikaendelea na alikuwa akinipenda sana but kama mnavojua mipango si matumizi yule kaka sipo nae tena( siwezi kuelezea kilichotokea maana nitafungua code ila hatuna mahusiano kabisa kabisa) ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu

Kwa sasa nimerudi kwa chris japo mguu pande kwasababu sijamuamini kiivo… kuna jambo alimwambia rafiki yake kwamba mimi alinifumania jambo ambalo sio kweli na nimeshangaa ni kwanini amemwambia rafiki ake hivyo kwamba alinipigia simu usiku akasikia sauti ya mwanaume anauliza naongea na nani( jamaani wananchi ilo jambo ametunga si kweli)

Sasa nimewaza huyu jamaa sio kwamba karudi kulipa kisasi kwangu nilivyomuacha
Mimi nilimuacha kwasababu ana akili za kitoto mfano akipiga simu upokee hapo hapo kama hupokei atapiga hata mara 20 mpk nikawa naogopa ukipikea sasa zinaanza lawama hii hali ya kulaumiwa kila siku nikaichoka yaani tuna miezi 2 ila kama miaka ndio ikapelekea nimuache

Kilichonirudisha kwake ni kwakuwa sina mtu ninaemuelewa kwa sasa then nimeona kama yeye ananipenda japo mimi still nasuasua

Ila sasa hivi amekuwa bahili hata vocha ni kusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto

Wakuu ushauri kuhusu huyu mtu nifanyaje
Achana na Chris, njoo kwangu; wala hutajuta!
 
Mabinti tunapitia mambo magumu sana sema hamuelewi mnatupa lawama… imagine umetulia na mtu unaamini atakuoa upo nae peke yake mara ghafla kabadilika

Ni vile tu sisi tunaolewa hatuoi so hatuwezi kupanga ndoa
Acha uongo hata kwa huyo jamaa yako wa nje tatizo ni wewe,eti unasingizia mambo ya kimungu-mambo ya kimungu ndio yapi ulishindwa kubadili dini hadi mnapanga kuoana hayo mambo ya kimungu hamkuyaweka sawa??.
 
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni

Kwa kipindi hicho sikuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo mwanaume wa nnje ya nchi…. Kama unavojua mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja sumaku huvutana

Kwa kipindi hiko sikuwa nampenda yoyote kati yao maana sikuzingatia… ukaribu na chris tukajikuta nimempa tunda, hilo jambo nilijutia sana kwasababu sikuwa nikimpenda halafu jamaa sijui ndio akazama kwangu, akaanza kuwa msumbufu mpk kukeraa,, nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 ( alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu)

Baada ya miezi 2 nikamwambia mimba imetoka jamaa alilaumu sana akisema nimetoa ila mimi nilikazana imetoka basi bhn nia ilikuwa ni kumuacha ili nibaki na mwanaume wangu wa siku zote maana alionesha malengo japo hatukuwai kuonana… nilifanikiwa kumuacha yule kaka( chris) japo alikuwa king’ang’anizi

Mpnz wangu wa nnje alirudi tukaonana na mipango ikaendelea na alikuwa akinipenda sana but kama mnavojua mipango si matumizi yule kaka sipo nae tena( siwezi kuelezea kilichotokea maana nitafungua code ila hatuna mahusiano kabisa kabisa) ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu

Kwa sasa nimerudi kwa chris japo mguu pande kwasababu sijamuamini kiivo… kuna jambo alimwambia rafiki yake kwamba mimi alinifumania jambo ambalo sio kweli na nimeshangaa ni kwanini amemwambia rafiki ake hivyo kwamba alinipigia simu usiku akasikia sauti ya mwanaume anauliza naongea na nani( jamaani wananchi ilo jambo ametunga si kweli)

Sasa nimewaza huyu jamaa sio kwamba karudi kulipa kisasi kwangu nilivyomuacha
Mimi nilimuacha kwasababu ana akili za kitoto mfano akipiga simu upokee hapo hapo kama hupokei atapiga hata mara 20 mpk nikawa naogopa ukipikea sasa zinaanza lawama hii hali ya kulaumiwa kila siku nikaichoka yaani tuna miezi 2 ila kama miaka ndio ikapelekea nimuache

Kilichonirudisha kwake ni kwakuwa sina mtu ninaemuelewa kwa sasa then nimeona kama yeye ananipenda japo mimi still nasuasua

Ila sasa hivi amekuwa bahili hata vocha ni kusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto

Wakuu ushauri kuhusu huyu mtu nifanyaje
Kati ya Chris na huyo mwamba wa nje, nani alianza kuukata huo utepe ili tukusaidie ideas za kikubwa maana Chris bado anautoto na utaweza kumuovercome
 
Kama wewe ulivyomuweka second option hapo yuma na yeye sasa hivi ana mtu mwengine ambaye ana malengo naye.
Wewe ni wa kusogezea siku mbele tu.
 
Malaya haolewi, huwa tunabadilishana tu masela unaeza hisi hatujuani ukajiona mjaanja mwenyewe...🤣
 
Huwezi kufanya uamuzi sahihi ukiwa na njaa au upwiru, shughulikia hayo kwanza.
 
Jitahidi ujue unahitaji nini katika MAISHA yako kwanza.

Mfano unaweza kuwa hauna customer care nzuri kwa wateja Ila ukiajiriwa Kama customer care unahitaji Ku-pretend ili uendane na kazi yako.

Sasa ukija katika MAISHA yako yanayokuhusu wewe lazima yatawaliwe na uhalisia 100%

Mfano
Mahusiano yako
Mafanikio yako binafsi
Leo yako na kesho yako.

Ukikwama Katika kuyaelewa MAISHA yako itafika wakati utakwama Sana.

Kupenda kusaidiwa na wanaume na kula pesa zao, fahamu tu anayerudi nyuma ni wewe mwenyewe.

Tazama haya mambo tangu upewe pesa na wanaume umepata nini?
Je umefanikiwa katika nini?

Hivyo ukiona maisha hayabadiliki unabidi kuanza kutofautisha haya mambo katika mahusiano kati ya Value man and expensive man ,mwanume wa thamani na mwanaume wa gharama.

MTU ambaye anakupa kitu ila yeye mwenyewe anaumia na hana kitu fahamu huyo ni mwanaume wa gharama , na hawa ndo wengi hutoa pesa kwa masharti kuwa nakuhudumia ili unipe kitu.

Ila mwanaume wa thamani atahakikisha unajitambua, na kukuza katika maeneo yote muhimu ,kiakili, kihisia, kiuchumi, kiroho.

ushauri
Wekeza katika value man na utazame long run benefits with consistency.

Pesa, nyumba , kulipiwa bills haya yote mambo madogo Sana ukiona unampenda MTU kisa hivi vitu ujue bado haujafanikiwa kuwa na "sense of who you are ,( kujitambua. )

Kumbuka to be trusted is a greater compliment than to be loved.

Fanya MTU akuamini utapata vitu vingi kuliko MTU kukupenda. Na ili MTU akuamini muoneshe kuwa upo kwa ajili yake na umuongezee thamani.
Lamomy soma hii 🤣🤣🤣
 
Ndo huyu Chris ama wa nje. Maana una orodha ndefu sana

Kuwa na kumbukumbu
Nilimwambia kwenye huu huu uzi wake
 
Kuna Mwanamke mwenye mvuto na anayevutia.

Na mwanaume anapenda mwanamke mwenye mvuto je unaelewa hili?

Mwanaaume akija kwako unasoma
Njaa yake au unasoma heshima yake?

Jitahidi uwe na MVUTO ili umiliki magnetic power.

Kuhangaika angaika kwa wanawake ni kwasabau hawana magnetic power wanavutia Ila hawana mvuto.

Pia ukiona mwanaume na yeye anazunguka huku na kule kutafuta wanawake ujue hana magnetic power.

Ukiwa na MVUTO biashara ya mahusiano unakuwa umeshaimiliki kinachobaki nikupambania mambo mengine

Duuh aisee
 
Ww unapenda usipopendwa na anayekupenda humtaki na zaidi naye anakupangia tukio.
Hapo ushakuwa master mpk upitiwe na wanaume 50 mbele wa 51 ndo atakuoa niamini mimi

we dada muogope Mungu 50 wote hao
 
Back
Top Bottom